Una uhakika bado hujafa?

Una uhakika bado hujafa?

Kama unafikiria umekufa, basi jua hujafa.

Kama hufikirii kuwa umekufa, jua kwamba hujafa.

Kama umekufa, hili swali halikuhusu.
 
Mkuu una muda gani unavuta ndumu?Safi utafika mbali.

Au imagine maisha yote haya mtu unajishaua kumbe ni ndoto.
 
Back
Top Bottom