Una uhakika bado hujafa?

Una uhakika bado hujafa?

Niliwah kujaribu kujiua,nikazimia polini siku tatu

Mpaka leo ikitokea watu hawajanishirikisha kitu au nimekaa mahali au kwenye usafiri ila siti nilyokaa watu wanaikwepa nahis kama hapa duniani huenda sipo
Duh aisee mkuu uliwaza adi kujiua?
 
Sasa mkuu mbn naona koment yako ikiwa unaonaushakufaga hapo zamani😄
 
Back
Top Bottom