Una uhakika gani kuwa "sasa hivi" Haupo ndotoni?

Una uhakika gani kuwa "sasa hivi" Haupo ndotoni?

Thread yako naiua kwa kusema kua utapata feelings zote lakini hutasikia physical pain kwenye ndoto hata siku moja.
Kwahyo hii sio ndoto sababu nimejifinya nikasikia maumivu makali ambayo kwenye ndoto hakuna.
Sio kweli maana ukiota unapigwa lazma utahisi maumivu na hata kujikuta ukitokwa machozi.
 
Anaye ota hawezi kuota analala,kwahiyo kama utalala usiku wa Leo na kuamka asubuhi jua hauoti upo pamoja nasisi ktk wakati huu mgumu wa kukosa sukari.
 
Kama uko serious kabisa kwamba unashindwa kutenganisha kati ya ndoto na uhalisia basi nakushauri badilisha kinywaji.
 
Yaelekea wewe hujawahi kuota ndo maana unashindwa kutofautsha ndoto na vitu halisi katka ndoto ghorofa 10 waweza zimaliza kwa siku sijui no kweli
 
Kama uko serious kabisa kwamba unashindwa kutenganisha kati ya ndoto na uhalisia basi nakushauri badilisha kinywaji.
[emoji35] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au kilevi?[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Je mtu akisema anataka kutimiza ndoto yake ya kuwa tajiri je aliota au??!!
me naamini ht hapa tulipo wote tunaota tu(halucination).
Ndo maana matangazo ya biashara na bahati nasibu yana kauli mbiu TIMIZA NDOTO YAKO!
 
Kimantiki tunaenda

Watanzania karibia wote hadi baadhi ya mawazir hawaamini kama kweli wako usingizin kwenye ndoto au laa kwa maana katika ndoto hata ukishtuka unasema japo si kweli unaendelea na usingizi au kuamka kabisa.

Maisha ya bongo kwa sasa ni sawa tuko kwenye ndoto tena mbili yakwanza tunaliwa na Simba na nyingine ni kuota tumeshika pesa na kuipangia mahesabu ambapo ukshtuka ndio unasema dah hivi kweli ni ndoto na unaweza tafuta pesa hizo za ndoton kwenye shuka, mto hadi uvunguni pengine kumuuliza jiran aliyelala naye kuwa umeona pesa zangu au umeziokota.

DAH NDOTO ZA WATANZANIA KWA SASA SI NDOTO NDIO MAISHA YENYEWE
NAAMINI HADI MAGUFULI YUKO KWENYE NDOTO JUU YA KAULI ZAKE NA URAIS WAKE ANADHAN NI NDOTO KUMBE NDIO SIKU ZA KITABU CHA WATANZANIA KINAENDELEA KUKUNJUA KURASA.

hahaha ndoto ni nzuri kama unaota unakojoa choon kumbe unalowanisha godoro
Ndivyo kwa watanzania na rais wao wanAvyofikir
 
Je mtu akisema anataka kutimiza ndoto yake ya kuwa tajiri je aliota au??!!
me naamini ht hapa tulipo wote tunaota tu(halucination).
Ndo maana matangazo ya biashara na bahati nasibu yana kauli mbiu TIMIZA NDOTO YAKO!

new Idea hii...! kwa hiyo ndoto yako hiyo na yenyewe huwa ufahamu unatoka? ndio uote au hadi ulale? bila juhudi?
 
Yaelekea wewe hujawahi kuota ndo maana unashindwa kutofautsha ndoto na vitu halisi katka ndoto ghorofa 10 waweza zimaliza kwa siku sijui no kweli

mkuu nimeota sana tu hata hivyo niliota tupo na shein + jecha tukipanga matokeo ligi kuu.
 
Back
Top Bottom