Kimantiki tunaenda
Watanzania karibia wote hadi baadhi ya mawazir hawaamini kama kweli wako usingizin kwenye ndoto au laa kwa maana katika ndoto hata ukishtuka unasema japo si kweli unaendelea na usingizi au kuamka kabisa.
Maisha ya bongo kwa sasa ni sawa tuko kwenye ndoto tena mbili yakwanza tunaliwa na Simba na nyingine ni kuota tumeshika pesa na kuipangia mahesabu ambapo ukshtuka ndio unasema dah hivi kweli ni ndoto na unaweza tafuta pesa hizo za ndoton kwenye shuka, mto hadi uvunguni pengine kumuuliza jiran aliyelala naye kuwa umeona pesa zangu au umeziokota.
DAH NDOTO ZA WATANZANIA KWA SASA SI NDOTO NDIO MAISHA YENYEWE
NAAMINI HADI MAGUFULI YUKO KWENYE NDOTO JUU YA KAULI ZAKE NA URAIS WAKE ANADHAN NI NDOTO KUMBE NDIO SIKU ZA KITABU CHA WATANZANIA KINAENDELEA KUKUNJUA KURASA.
hahaha ndoto ni nzuri kama unaota unakojoa choon kumbe unalowanisha godoro
Ndivyo kwa watanzania na rais wao wanAvyofikir