Ukiona ndoto haitimii wanashauri uendelee kulala hadi itimie.hhahah le ndotoznew Idea hii...! kwa hiyo ndoto yako hiyo na yenyewe huwa ufahamu unatoka? ndio uote au hadi ulale? bila juhudi?
nimeipenda hii
Mimi nilishaamka asubuhi ndotoni na nilipoangalia saa nikawahi shule bila kuoga kutokana na nilikuwa nimeshachelewa nusu saa nzima.Kama ni maswali ya kiimani sina jibu ila kisayansi naweza tofautisha uhalisia na ndotoni kwa kuangalia SAA yani kwenye ndoto hata uwe sebleni na sikuzote huwa kuna saa, ndotoni hiyo saa hutoiona ubongo hauwezi kutengeneza tic-toc ya duniani.
Ungeiangalia SAA mara ya pili ndo nilivyomaanisha kusema ubongo hauwezi kutengeneza tic-toc ya duniani. mfano angalia saa iseme 1723... icheki tena iandike 1023... hiyo ndoto sasa. Ila uhalisia cheki saa yako iseme 1725... rudia tena iseme 1725/6 hiyo reality.Mimi nilishaamka asubuhi ndotoni na nilipoangalia saa nikawahi shule bila kuoga kutokana na nilikuwa nimeshachelewa nusu saa nzima.
Ile natoka nyumbani speed kuwahi shule ndio nikakurupuka kitandani huku kukiwa bado hakujakucha vizuri.
UKIOTA UNATAKA KWENDA CHOONI USIKUBALI,KWANI HUO NI MTEGO!Binadamu mara nyingi akikutana na jambo( kitu) la ajabu la kushangaza au kuhuzunisha sana kuna swali huwa anajiuliza hata mimi binafsi nimejikuta kama mara mbili hvi ikinitokea.
Swali: Hivi naota au?(akijiuliza yani nipo ndotoni au ndio real happen).
maswali naomba mnijibu:
1: Unawezaje kutofautisha kati ya ndoto na uhalisia?
zingatia: jambo unalofanya/linalotokea ndotoni halina tofauti na linalotokea katika hali halisi.
mfano: unaweza ota unapigwa na unalia na feelings zile zile utazipata ukiwa endapo utanapigwa live(sio ndotoni)
2: Una uhakika gani kuwa sasa hauoti ndoto hapo ulipo unaposoma hii thread?
maana hata ndotoni unaweza ukawa JF unasoma na kuandika thread.
3: Una uhakika gani kama jibu lako hilo ulilotoa ni sahihi na sio umetoa ndotoni sasa.
Ukitaka ufurahie maisha siku zote katika maisha yako, uwe unachukulia kila jambo ni ndoto ambayo unaweza kuiota utakavyo wewe. Stress zote za maisha zitakwisha na utakuwa huru.
Nakutakia undeleze hii ndoto yako njema unayoota unasoma thread yangu kumbe kiuhalisia hausomi.
hahahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa aliota kaokota furushi la hela kuliinua kumbe kuna tundu chini akaamua kuliziba na kidole cha kati asubuhi kushtuka kakuta kajikaba kooni kajitia na dole kwny nonino.stori za zamani bana
Kama utakua mfuatiliaji mzuri wa ndoto zako, unaweza ukaota halafu ukahisi kua upo usingizini, na inaweza kutoka kabla ya kuamka kutoka usingizini. Mimi imeashawahi nitokea baada ya kuona mambo yanayotokea kwenye ndoto hayapo dunianilakini je ukiwa unaota huwa unajijua kuwa umelala? au hadi ndoto ikatize(iishe) ndio unakurupuka et kumbe ni ndoto