Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Simu yangu imejaa zile picha za kwenye ule uzi wa "picha za warembo wakali world wide".
Yaani picha zote za kwenye ule Uzi nimezipakua hadi simu imekuwa nzito.

Je, Nina makosa?! ๐Ÿค”.

Cc Harmful Mbaga Jr Mama Ndege
We ndiyo wale wakina sisi tunapitia kimya kimya mbona sionagi comment zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa we utamfanya nini we mpe show basi zamani apo kuna mmama mmoja alikua anapenda mazoea na mimi kuna siku ilikua jioni jioni ya kigiza nilipita kwake akaleta mazoea ya kunisindikiza wakati naondoka sio siri nili mto..mbea pagarani kwake na nilimvua nguo zote usiku ule hahahaaaaaaa moja ya matukio yangu ya hovyo ukiacha la kumpiga mtungo mmama moja hivi mjinga mjinga....
 
Haujaombaga mechi mkuu
Mzee wangu hata wewe usingeweza omba mechi, moja ya sababu ya kutoweza kuwaangalia wahusika baada ya hapo.

Unamjua yule Bibi wa Rwanda alie trend na nyimbo ya brud of jesus??


Badala ya hiyo nguo nyeusi mvalishe gauni la kitenge na rubber ya converse oversize.
Unaanzaje kuomba mechi hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ