Una Uzoefu Gani Na Vinyozi Wanawake?

Una Uzoefu Gani Na Vinyozi Wanawake?

Alininyoa vizuri Ile pisi bonge la pisi badae alikuja kupata jamaa mwenye pesa mbaya, sijui yuko wapi yule Manzi
Ni miaka isiyopungua 10 iliyopita ila bado unakumbuka alivyokunyoa huyo kinyozi wa kike!!

Haya bosi pisi kali ipo kwa mumewe usiiwaze tena.
 
Kinyozi wa kwanza wa kike kuninyoa nywele za kichwa changu alikuwa ni Naomi mke wangu.

Hakuninyoa vizuri hivyo siku hiyo ikawa ndio mwanzo na mwisho wa kunyolewa na Naomi. Baadaye nilitafuta kinyozi mwingine mwanamke naye hakutofautiana sana na Naomi maana hata yeye hakuninyoa vizuri. Nikatafuta mwingine naye ikawa ni hivyo hivyo tu!!

Nilienda kukata nywele jana katika salon moja huko Sinza (sitaitaja kwa jina) na kinyozi (mwanamke) alinikata nywele na ngozi yangu.

Niliumia sana na nilipandisha hasira Ila alipiga magoti na kusema "excuse me" tukayamaliza.

Binafsi nilichagua vinyozi wanawake ili kupima kama wanaweza hiyo kazi , na sasa nimetambua ya kwamba hiyo kazi hawaiwezi. Siendi tena kwa kinyozi mwanamke.

Mlio na vinyozi wanawake leteni uzoefu hapa. View attachment 2498965

Labda alitaka akunyoe mtindo kama wa profesa lipumba
 
sasa mkuu mtu hawajai kujifunza hiyoo art ndo umpee hiyoo kazi kwa mara ya kwanza.

kwaiyoo kwa mwanaume ndo anaweza kunyoa hata kama hajawai kunyoa?
 
Back
Top Bottom