Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Alininyoa vizuri Ile pisi bonge la pisi badae alikuja kupata jamaa mwenye pesa mbaya, sijui yuko wapi yule ManziAliwahi kukunyos vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alininyoa vizuri Ile pisi bonge la pisi badae alikuja kupata jamaa mwenye pesa mbaya, sijui yuko wapi yule ManziAliwahi kukunyos vizuri?
Ni miaka isiyopungua 10 iliyopita ila bado unakumbuka alivyokunyoa huyo kinyozi wa kike!!Alininyoa vizuri Ile pisi bonge la pisi badae alikuja kupata jamaa mwenye pesa mbaya, sijui yuko wapi yule Manzi
Kweli na sikuwa agenda nayo yoyoteNi miaka isiyopungua 10 iliyopita ila bado unakumbuka alivyokunyoa huyo kinyozi wa kike!!
Haya bosi pisi kali ipo kwa mumewe usiiwaze tena.
Kinyozi wa kwanza wa kike kuninyoa nywele za kichwa changu alikuwa ni Naomi mke wangu.
Hakuninyoa vizuri hivyo siku hiyo ikawa ndio mwanzo na mwisho wa kunyolewa na Naomi. Baadaye nilitafuta kinyozi mwingine mwanamke naye hakutofautiana sana na Naomi maana hata yeye hakuninyoa vizuri. Nikatafuta mwingine naye ikawa ni hivyo hivyo tu!!
Nilienda kukata nywele jana katika salon moja huko Sinza (sitaitaja kwa jina) na kinyozi (mwanamke) alinikata nywele na ngozi yangu.
Niliumia sana na nilipandisha hasira Ila alipiga magoti na kusema "excuse me" tukayamaliza.
Binafsi nilichagua vinyozi wanawake ili kupima kama wanaweza hiyo kazi , na sasa nimetambua ya kwamba hiyo kazi hawaiwezi. Siendi tena kwa kinyozi mwanamke.
Mlio na vinyozi wanawake leteni uzoefu hapa. View attachment 2498965
Mkuu umenichekesha mno 😂😂😂Labda alitaka akunyoe mtindo kama wa profesa lipumba
Hapo sawasikuwa agenda nayo yoyote