Una Uzoefu Gani Na Vinyozi Wanawake?

Alininyoa vizuri Ile pisi bonge la pisi badae alikuja kupata jamaa mwenye pesa mbaya, sijui yuko wapi yule Manzi
Ni miaka isiyopungua 10 iliyopita ila bado unakumbuka alivyokunyoa huyo kinyozi wa kike!!

Haya bosi pisi kali ipo kwa mumewe usiiwaze tena.
 

Labda alitaka akunyoe mtindo kama wa profesa lipumba
 
sasa mkuu mtu hawajai kujifunza hiyoo art ndo umpee hiyoo kazi kwa mara ya kwanza.

kwaiyoo kwa mwanaume ndo anaweza kunyoa hata kama hajawai kunyoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…