Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Binafsi sifuatilii yeyote aliyenitenda kama anafanikiwa au mambo yanamuendea kombo. Ikitokea nimejua sawa, nisipojua pia ni sawa. Ila la uhakika ni kuwa, nitakuwa mbali naye kiaiana ili mambo mabaya yasijirudie.
 
...Kitu kama Hicho...!
 
...Lakini Bado wako hai! Kuna siku TU Karma itafanya kazi yake!
Umeishaambia Hata Kizazi Cha Tatu ama Cha Nne!
Karma is Real, Comrade!!
 
...Lakini Bado wako hai! Kuna siku TU Karma itafanya kazi yake!
Umeishaambia Hata Kizazi Cha Tatu ama Cha Nne!
Karma is Real, Comrade!!
Mnadanganya kabisa mtu akipata matatizo tu et karma hakuna kitu kama hicho.
 
Mnadanganya kabisa mtu akipata matatizo tu et karma hakuna kitu kama hicho.
Ndugu karma is real. Wengi wasichojua karma hufanya kazi kwa kufuata kanuni zake..ukiijua unaweza ichezea tu. Unaweza dhulumu mia mbili kwa mwenye hela mwenzio then ukaenda mnunulia chakula mtu masikini,,,hapa unakuwa umefuta adhabu au pigo lililokuw likurudie. Matajiri wanaijua sana hii style
 
Mm nilidhulumia 200 ml baada ya kupata madini nikaambulia mil 6 jamaa yupo mpaka leo na anaendelea ww uje uniambie mambo ya karma.
 
Mm nilidhulumia 200 ml baada ya kupata madini nikaambulia mil 6 jamaa yupo mpaka leo na anaendelea ww uje uniambie mambo ya karma.
Yes inawezekana. Soma vizuri nilichoandika. Ipo Siri ya watu wanaposema tuwe tunasali. Kiasilia karibia chochote unachofanya kinaweza kukurudia zaidi ya ulivyofanya..kiwe kibaya au kizuri.
Soma vizuri unielewe.

Sasa unaweza fanya kitu kibaya na ukaufuta huo ubaya kabla haujakurudia zaidi ya ulivyofanya. Zipo namna za kufanya hivyo.
Mfano mzuri ni Hilo tukio lililokupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…