Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

great thinker utakuwa wewe? Waafrika tunashida sana. Ungekua Great thinker si ungekua unafanya kazi na kina Microsoft saiz!
ID yako kwa Kilugha cha Kwetu Rwanda inamaanisha ni Kinyesi cha Binadamu kinachotoa Harufu si tu mbaya bali pia ni Hatari kwa Afya za walio jirani ( karibu )
 
Malipo ni hapahapa ila jitihada ziwepo! Sio upigwe kofi uzubae kama zuzu umwambia malipo ni hapahapa duniani. Rudisha kofi la nguvu uvunje hata taya ili asirudie tena kwa mwingine. Hayo ni malipo halali. Dhana ya kusema namuachia Mungu haipo.
 
Habari zenu wakuu,

Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.

Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.

Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.

Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.

Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
Kama ilivyompata Mwendazake Jiwe
 
Tumsamehe mzee magu...maaana hata binafs nimekereka sana na maisha ya utumwa cha ajab wapumbav bado wanatuonea kaz tunafanya posho wala wao...

Baada ya muda nitawasamehe...it's a matter of time
 
Ulimwengu unajiendesha katika mfumo ulio balanced.kwahiyo ukitenda kitu Leo lazim kije show effect hat baadaye ili kubalance.

world is fair because is unfair to everyone
mimi Kila nikimaliza kula nyeto lazma nipate msala wwte
Kha! Unajihukumu bure kwakua ushaweka kichwani hiyo ni mbaya Mkuu,mbona mi sipati msala wowote?
 
See! The voice huwa ni so powerful & loud within kiasi kwamba huwezi kuipinga. Watu wasiangalie karma (laana) kama tu matokeo ya kutenda ubaya. Vilevile kuna karma (baraka) ya kutenda mema!!! Those who spend their time wishing for somebody else's death ama failure, huwa nawahurumia sana! They know not wanachokifanya. We should be good wishers na watoa barka kwa wengine! What goes around normally comes around! Hakuna tendo jema ama baya, even if infinitely small, ambalo halitakuwa repaid back in kind
Wishing for someone's death or failure inategemea umenitenda nini,kuna kitu utanitenda aisee!!! Sitawish for your death,I'll kill you myself!
 
Wishing for someone's death or failure inategemea umenitenda nini,kuna kitu utanitenda aisee!!! Sitawish for your death,I'll kill you myself!
Let's hope that mambo hayafiki huko, maana ni wazi kuna walakini katika utimamu wa akili hapa.
 
Niliwahi kufanya kazi mahali.
Tulikuwa tunaishi nyumba za kota na kufanya kazi ofisi moja.

Huyo niliyekuwa naishi naye alikuwa na rafiki yake, Wote idara moja ila vitengo mbali mbali.

Kupitia huyo niliyekuwa naishi naye nikajuana na huyo ,Siku nyingine anakuja hamkuti mwenyeji wake Mimi nasonga ugali tunakula pamoja.

Siku moja huyo bwana akapandishwa cheo ,Akawa yupo Wilayani.

Basi siku nikawa na shida ya kuulizia jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wake.

Akasema sawa,Baadaye nikampigia simu haikupokelewa,Meseji zinaenda lakini majibu hakuna.wiki nzima ,Niliumia sana na kwakweli nilitokwa na machozi😭

Nikaachana naye,Kumbe hata wengine aliwafanyia hivyo hivyo.

Hata ukienda hakusalimii na ukimsalimia anaitikia kama vile hakujui🙆🙆

Siku nilienda mwenyewe nilipoenda mwenyewe nilikutana naye njiani nikampaka nikamwambia umeingia kuwa bosi hujali ulikotoka.

Kilichofuatia baada ya hapo nikienda wilayani napita kama simuoni.

Baada ya mwezi mmoja,

Alifukuzwa ukuu wa idara kwa makosa ya Rushwa almanusura afukuzwe na kazi.

Sass yupo anajifanya kaokoka na kuhubiri neno😃😃

Mke alimuacha akamuita mchawi,Ndugu zake pia anawaita wachawi.😃

Yupo yupo tu,Cheo alishashushwa😃😃
 
Back
Top Bottom