Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!
Hili suala la religion limetoka wapi tena?
 
1. I wonder why would you dare call it ^nonsense^ while you rightly claim you ^didn't get any of these^!?? Are you two-in-one individual, then -- one thinking while a separate person penning down something else!???

2. Where did you read me having said: Religion is God, and vice versa!??? True religion (I say ^true^ because they are countless) is a superior education towards knowing God and developing a saving, trusting relationship with Him.

3. ^Dini was merely brought to scare people^ The only things I know, which deserve to be scared away, are scavengers, crop-eating animals, and the like, but it is almost sacrilegious to characterize humanity as such.

Didn't get any of these nonsense you wrote herein. I repeat religion is NOT God and God is NOT religion, dini was merely brought to scare people. Mkuu soma "The Council of Nicea," huu upuuzi wa dini ni usanii tu. Get over it!
 
Karma ni imani ya Hindu na Budha huamini kuwa ukifanya jema utalipwa jema na ukifanya baya utalipwa baya (litakurudia) sawa na msemo "what's goes around comes around"

Neno hili sasa linatumika kwa jamii zote.
 
Karma ni imani ya Hindu na Budha huamini kuwa ukifanya jema utalipwa jema na ukifanya baya utalipwa baya (litakurudia) sawa na msema "what's goes around comes around"

Neno hili sasa linatumika kwa jamii zote.
Tunshukuru kwa jibu lakini "what's goes around comes around" hiyo si maana yake
 
Jaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
Mbona hata unge ' Google ' tu Mkuu ungepata Ufafanuzi wa Kina tu huko huko kuliko mpaka kuja Kuuliza Wadau JF? Huwa napenda mno nikiona Mambo yanayoulizwa hapa JamiiForums yawe ni yale mazito mazito ya Kufanya hata ' Brains ' zetu zihangaike katika Kufikiri na Kuyajadili ( Kuyadadavua ) kwa Kina kama ' Great Thinkers ' na haya mengine tuwaachie wale wenye ' Shallow Mindsets ' wa huko Facebook na Instagram wayajadili.
 
Huu muda ulio tumia kuandika hii riwaya ungempa jibu wala usingepoteza muda wote huo
 
Mbona hata unge ' Google ' tu Mkuu ungepata Ufafanuzi wa Kina tu huko huko kuliko mpaka kuja Kuuliza Wadau JF? Huwa napenda mno nikiona Mambo yanayoulizwa hapa JamiiForums yawe ni yale mazito mazito ya Kufanya hata ' Brains ' zetu zihangaike katika Kufikiri na Kuyajadili ( Kuyadadavua ) kwa Kina kama ' Great Thinkers ' na haya mengine tuwaachie wale wenye ' Shallow Mindsets ' wa huko Facebook na Instagram wayajadili.
great thinker utakuwa wewe? Waafrika tunashida sana. Ungekua Great thinker si ungekua unafanya kazi na kina Microsoft saiz!
 
Jaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
Mmezidi uzembe na uvivu. Ingia Google faster.

Wakulaumiwa ni shemeji na dada yako. Nenda nje ujichanganye na masela upate michongo ya kazi vibaruani huko.

Haya inuka faster sofani hapo.

Kamoooonn!
 
ukitenda wema usisubiri shukrani..
sababu shukrani ni mateke ya punda
 
Back
Top Bottom