Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

mbona hiyo nukuu nimekuwekea na umeikataa kua huitambui katika msahafu wako?

nataka wewe unipe nukuu kutoka GNT (GNB) version inayokosoa hiyo nukuu yangu
You seemingly troll on purpose because you already know your mistake! Nimeuliza, pls weka hiyo NUKUU ORIGINAL YA ENGLISH hapa. How in the world is that even so hard for anyone!??
 
nimekupa nafasi ya kuleta nukuu yako ambayo kimsingi unaiona ni sahihi kuliko hii yangu ambayo umedai kua huitambui kwenye msahafu lakini umeshindwa

Ephesians 1:11​

All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.
 
This according to who....Mkuu, usipende sana ku base simple common sense na mambo ya kisanii toka kwenye vitabu vya dini. Mungu NEVER wrote any kitabu cha dini, I repeat, never. Kwenye vitabu hivyo hivyo vinasema jicho kwa jicho na jino kwa jino ikimaanisha mtu aliyekukosea mabaya inabidi naye apewe kipondo ili ajutie makosa yake.....cha kushangaza sasa waumini hao hao wanasahau hii verse. Maandishi/maneno yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu vimeandikwa na binadamu kwa manufaa ya kutishia na kutawala wenzao, ukisoma undani wa hizi dini (Hebrew, Ukristu, Uislam) huko mwanzo utajuwa kwanini wanadamu walikuja na kisingizio cha dini ili kutawala na kutishia wenzao. It's a long story mkuu. Amini Mungu tu, dini makes no sense.
1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.

2. The religion may seem to "make no sense" to some unscrupulous individuals, but that does not in any way invalidate its genuiness and its usefulness and its inevitableness. The fact that religion does not always make sense is one of the greatest evidences in support of its divine precedence. This is why we must believe, as you rightly said.

3. Dini wala haiko kwa ajili ya wanadamu "kutishia na kutawala wenzao." The whole point of religion is that of understanding who God is, and that He dearly loves all people and He has wonderful eternal plans for each one of us, you included.

4. "Jicho kwa jicho; jino kwa jino," just as it sounds, is not a rounded, complete, divine injuction. It is simply a portion of the whole story. And there are countless references within the same document unazoweza kuthibitisha what is actually the case. Even more importantly, it is not a haphazard, arbitrary injuction, as you would like it to be, but rather an official mandate that had been previously delegated to be enforced by responsible authorities which are installed through God's permission and are thus recognized by Him.

5. Mungu never directly wrote any of the books that we have them today as His Word, but He did inspire those servants, saints and people who wrote them! Get that?
 
nimekupa nafasi ya kuleta nukuu yako ambayo kimsingi unaiona ni sahihi kuliko hii yangu ambayo umedai kua huitambui kwenye msahafu lakini umeshindwa

Ephesians 1:11​

All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.
Thanks for copying the text, finally! If you compare your translation with the text itself, you will notice they are saying completely different things. Your translation is outrightly opposing the original. Ukitumia hii text ya GN or whatever translation of your choice, huwezi kamwe kusapoti ile dhana yako ya awali. Please, don't forget where we are coming from!
 
nipe hayo maneno ambayo niliyaweka kule ambapo hapa unadai hayapo na yana kinzana kimaana

Pili nataka uniambie hiyo quote niliyokuwekea saizi unakubaliana nayo kua imesema kweli?
 
"All things are done according to God's plan and decision..." Ni tofauti, na inapingana na ulichoandika (translation yako) kwamba: "kila kitu kinafanyika kutokana na mipango na maamuzi ya Mungu."

Sentensi yako inabeba dhana kwamba everything that happens Mungu anakuwa ameiplan na kuiamua itokee -- implication ni kwamba God is actively involved even in originating evil, something that is not only impossible and beyond reason, but also sacrilegious to entertain!

On the contrary, if you compare the text from other versions, the meaning is intact and clear kwamba God streamlines --- redirects, takes advantage of, manipulates --- all things to work out His divine purpose and plan. Not that He is the very direct source of everything that happens, but He uses everything that happens in order to work out His divine will. Whatever that happens, whether good or bad, regardless of the fact that it may or may not have come from God in the first place, is an asset that He uses to help bring about His divine plan and purpose.
 
"All things are done according to God's plan and decision..." Ni tofauti, na inapingana na ulichoandika (translation yako) kwamba: "kila kitu kinafanyika kutokana na mipango na maamuzi ya Mungu."
Bado sijaelewa mantiki yako ya kuniambia quote yangu inapingana na hiyo verse labda ungefanya kuigeuza hiyo verse iwe katika lugha ya kiswahili pengine ndio mkanganyiko unapojionesha

Lakini ulichokiandika hapa hakipingani hata chembe na hoja yangu

Ikiwa kila kitu hufanyika kwa mipango yake na maamuzi yake then utasemaje kwamba kitendo cha fulani kifanyiwa jambo fulani ni KARMA ambayo amelipwa kutokana na matendo yake aliyofanya siku za nyuma wakati hayo matendo hakuyafanya kwa matakwa yake?
Sentensi yako inabeba dhana kwamba everything that happens Mungu anakuwa ameiplan na kuiamua itokee -- implication ni kwamba God is actively involved even in originating evil, something that is not only impossible and beyond reason, but also sacrilegious to entertain!
Bible imesema kua kila kitu kinafanyika kulingana na mapenzi ya mungu na maamuzi yake, wewe unakuja kukana kwasababu zako binafsi unazoziona kwa mtazamo wako kua zinachafua sifa yake

Umesahau kwamba katika biblia hata evil pia nayo huasisiwa na mungu kwa mapenzi yake?

Sitaki mjadala ufike huko kwasababu hapa bado hatujamaliza sawa sawa. Nahitaji uifafanue hiyo statement kwa kiswahili kwa ambavyo wewe unaona ni sahihi kisha tuipime kama inapingana na hoja yangu

On the contrary, if you compare the text from other versions, the meaning is intact and clear kwamba God streamlines --- redirects, takes advantage of, manipulates --
Kwa maana hiyo unafanya comparison na version nyingine kwakua hii version ya GNT sio ya kuaminika?

halafu unatoka kabisa hata kwenye hoja ambayo nilikua naijenga mimi, hizo habari za version nyingine zina umuhimu gani hapa kama unakubaliana na hicho kitabu?
- all things to work out His divine purpose and plan. Not that He is the very direct source of everything that happens, but He uses everything that happens in order to work out His divine will. Whatever that happens, whether good or bad, regardless of the fact that it may or may not have come from God in the first place, is an asset that He uses to help bring about His divine plan and purpose.
Nipe translation yako ya kiswahili kupitia verse hiyo ambayo iko against na hoja yangu
 
Bado sijaelewa mantiki yako ya kuniambia quote yangu inapingana na hiyo verse labda ungefanya kuigeuza hiyo verse iwe katika lugha ya kiswahili pengine ndio mkanganyiko unapojionesha

Please translation kwenye Swahili Bible; your translation ni opposite na text uliyonukuu.

Lakini ulichokiandika hapa hakipingani hata chembe na hoja yangu

Kinapingana. Translation yako inasema kila kitu kinachotokea ni mpango na maamuzi ya Mungu --- "kinatokana na." Text yenyewe inasema kila kitu kinachotokea kinafuata mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna tofauti kubwa.

Ikiwa kila kitu hufanyika kwa mipango yake na maamuzi yake then utasemaje kwamba kitendo cha fulani kifanyiwa jambo fulani ni KARMA ambayo amelipwa kutokana na matendo yake aliyofanya siku za nyuma wakati hayo matendo hakuyafanya kwa matakwa yake?

Hapana. Siyo kila kitu kinachofanyika ni mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna mambo mabaya yanayowapata watu kwa sababu ya their previous unscrupulous course of action. Mwenendo wao wa zamani umeleta matokeo hayo mabaya.

Bible imesema kua kila kitu kinafanyika kulingana na mapenzi ya mungu na maamuzi yake, wewe unakuja kukana kwasababu zako binafsi unazoziona kwa mtazamo wako kua zinachafua sifa yake

Nimefafanua vizuri hapo juu.

Umesahau kwamba katika biblia hata evil pia nayo huasisiwa na mungu kwa mapenzi yake?

On the contrary, evil inahusishwa na iblis Shetani, siyo Mungu.

Sitaki mjadala ufike huko kwasababu hapa bado hatujamaliza sawa sawa. Nahitaji uifafanue hiyo statement kwa kiswahili kwa ambavyo wewe unaona ni sahihi kisha tuipime kama inapingana na hoja yangu
Explained above.
Kwa maana hiyo unafanya comparison na version nyingine kwakua hii version ya GNT sio ya kuaminika?

Sijasema wala kusuggest kwamba GN haiaminiki; angalia tena nilichoandika kule juu. Nimesema umepotosha content ya GN, na hata versions zingine zinatofautiana kabisa na both translation & ufafanuzi wako.

halafu unatoka kabisa hata kwenye hoja ambayo nilikua naijenga mimi, hizo habari za version nyingine zina umuhimu gani hapa kama unakubaliana na hicho kitabu?

Ilikuwa njia ya kuthibitisha umekosea kutranslate na kufafanua ile text, ndiyo sababu ya kuonesha hizi further references.

Nipe translation yako ya kiswahili kupitia verse hiyo ambayo iko against na hoja yangu

We don't need to come up with a new translation, please angalia ile ya Swahili iliyopo tayari maana itaondoa dukuduku zote.
 
Please translation kwenye Swahili Bible; your translation ni opposite na text uliyonukuu.
kwani haiwezekani kui-translate hiyo verse kwenda lugha ya kiswahili bila kuangalia version ya kiswahili?

kwamba ukii-translate kwenda kiswahili bila kuangalia version ya kiswahili itapoteza maana?

hoja yako inanipa mashaka kuona kwamba version ya kiswahili imebadilisha tafsiri kutoka lugha ya kiingereza na ndio maana unani-recommend kusoma hiyo version
Kinapingana. Translation yako inasema kila kitu kinachotokea ni mpango na maamuzi ya Mungu --- "kinatokana na." Text yenyewe inasema kila kitu kinachotokea kinafuata mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna tofauti kubwa.
hiyo translation umeitoa kwenye version ya kiswahili au umeifafanua mta wewe kulingana na ulivyoelewa hiyo verse?

kama kila kitu kinachotokea kinafuata mpango na maamuzi ya mungu, leo hii ikatokea mtoto wa miak mitatu amebakwa na mtu mzima wa miaka 45 kwa mujibu wa hiyo tafsiri itakua ni sahihi kusema mtu mzima huyo kafanya kosa kupitia maamuzi na mpango wake?

Hapana. Siyo kila kitu kinachofanyika ni mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna mambo mabaya yanayowapata watu kwa sababu ya their previous unscrupulous course of action. Mwenendo wao wa zamani umeleta matokeo hayo mabaya.
mbona unabishana na biblia? biblia imesema kua "kila kila kitu" we unakuja kupingana nayo kwa mihemko yako kwa kuweka exception really?

hiyo verse wote tumeisoma hakuna sehemu imesema Vitu vyote vinafanyika kulingana na mpango na uamuzi wa Mungu isipokua mambo mabaya. hii umeipachika wewe kwa matumizi yako ikusaidie kutetea hoja yako and i dont care bout that

in addition swala la mungu kuruhusu dhambi kwenye bible halijatajwa hapo tuu isaiah 45:7 I form light and create darkness, I make well-being and create calamity, I am the Lord, who does all these things.

micah 1:12 For the inhabitants of Maroth wait anxiously for good, because disaster has come down from the Lord to the gate of Jerusalem.

zipo verse nyingi sana zinazoweka wazi kua mabaya pia yametokana na kusababishwa na mungu ila sitaki iwe mjadala
Nimefafanua vizuri hapo juu.

On the contrary, evil inahusishwa na iblis Shetani, siyo Mungu.
sio kweli, logically mungu ndio mwenye authority ya kuamua nini kifanyike kwa maamuzi yake, hivyo hakuna kitu kinacho fanyika kwa bahati mbaya bila yeye kukiruhusu kifanyike.

huwezi kumlaumu shetani kwa jinsi alivyokua wakati yeye alishakua programmed way back hata kabla hajazaliwa kupitia system yenye mamlaka makubwa ya kuruhusu kila jambo kufanyika kwa mapenzi yake

Explained above.

Sijasema wala kusuggest kwamba GN haiaminiki; angalia tena nilichoandika kule juu. Nimesema umepotosha content ya GN, na hata versions zingine zinatofautiana kabisa na both translation & ufafanuzi wako.
hiki ulichokiandika hapa ni uzushi wa kizamani sana, hakuna ufafanuzi ulioweka unao pingana kimaana na tafsiri yangu. Ufafanuzi wako haujakanusha kwamba kila kitu hskifanyiki kulingana na maamuzi na mipango ya mungu
Ilikuwa njia ya kuthibitisha umekosea kutranslate na kufafanua ile text, ndiyo sababu ya kuonesha hizi further references.
Nimekoseaje? Elezea
We don't need to come up with a new translation, please angalia ile ya Swahili iliyopo tayari maana itaondoa dukuduku zote.
Kwani ile translation niliyoiweka na ukaikataa sio ya kiswahili?

Unanipa vigezo gani vya kuangalia kwenye hiyo translation yako kuhakikisha kwamba hujapotosha kama ambavyo wewe kwa madai yako nimepotosha?
 
Don't ever try this at home! It is not meant for humans! Neither is it for good angels!
The gods can revenge instantly, cause they have been made by his Image according to Biblical's scripture they've capacity to do so, as a brave Warrior, However Human being like you will depend on his Almighty God for revenge.
 
1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.

2. The religion may seem to "make no sense" to some unscrupulous individuals, but that does not in any way invalidate its genuiness and its usefulness and its inevitableness. The fact that religion does not always make sense is one of the greatest evidences in support of its divine precedence. This is why we must believe, as you rightly said.

3. Dini wala haiko kwa ajili ya wanadamu "kutishia na kutawala wenzao." The whole point of religion is that of understanding who God is, and that He dearly loves all people and He has wonderful eternal plans for each one of us, you included.

4. "Jicho kwa jicho; jino kwa jino," just as it sounds, is not a rounded, complete, divine injuction. It is simply a portion of the whole story. And there are countless references within the same document unazoweza kuthibitisha what is actually the case. Even more importantly, it is not a haphazard, arbitrary injuction, as you would like it to be, but rather an official mandate that had been previously delegated to be enforced by responsible authorities which are installed through God's permission and are thus recognized by Him.

5. Mungu never directly wrote any of the books that we have them today as His Word, but He did inspire those servants, saints and people who wrote them! Get that?
Kingereza kinanitia uvivu mie jaman na hasa likiwa andiko refu..aah kwakua sielewi haraka kama navyoelewa kiswahili bas najionea tabu tu mie...
 
Basi kama Hiyo karma ipo tunategemea soon jiwe na wenzake waanze kupitiwa kwa jinsi walivyo tufanyia kwenye general election ya mwaka huu.
 
My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!
Mfia chama ni kipofu hawezi kuona tena kinacho endelea.
 
Binafsi mtu yeyote aliyenifanyia baya makusudi kabisa basi naomba sana limrudie au apate na ziada.ama nimlipizie mwenyewe au alipate kwingine lakini ni muhimu sana alipe labda iwe halikuwa kusudio lake Kuniumiza hapo naweza jaribu jaribu kusamehe.
Katika vitu ambavyo nimejaribu mara nyingi ni kumtendea wema aliyenitendea baya.Nimeshindwa kabisa yaani,halafu bahati mbaya 'Karma' huchelewa au nahisi wakati mwingine haifanyi kazi kwa sababu kuna watu wamenikosea makusudi kabisa kwa vitu vikubwa ila bado wanadunda tu.
 
Ndio maana nimeuliza maana hii kitu ya KARMA huwa siamini kama IPO maana wabaya wengi wanapeta tu.
Mbona ccm inaumiza maisha ya watanzania then still inaendelea kudunda tu

Mazuri na mabaya yapo kwaajili ya viumbe wote na kwakuwa ni nature ni lazima yatukute hata kama ukiwa ni mtenda mema mkubwa kiasi gani katika maisha lazima utafikwa na mabaya tu..

Ulimwengu una kanuni zake ili tuweze kuishi kwa usalama tuna paswa kuishi ndani ya hizo kanuni pindi tunapotoka nje ya hizo kanuni ndio huwa tunafikwa na matatizo ... kwa mfano ukimfanyia mtu utapeli tayari unakuwa umeshavunja uaminifu wako mbele za watu ..watu wataanza kukuzungumzia vibaya ' .sifa zako zitawafikia hata wale ambao haujawahi kuwatapeli wataanza kukuchukia directly Ikishafika hatua hiyo tayari utakuwa umesha jisababishia matatizo na kuanza kuishi katika mazingira hatarishi yanayoweza kuja kukuletea matatizo siku 1 ..
 
Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?

In this life, Nothing is in Vain! Hold on a little bit longer.
 
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu

Chief, nilichoelewa mimi ni kwamba Karma works in both ways, kwa mtendwa na hata kwa mtenda!

Kingine hapo wewe mwenyewe umekiri ya kwamba “Maneno Uumba!”...
kwa mantiki hii hata hao wanaofanya mabaya makubwa kuliko...nao wako na Imani yao na Maneno yao juu ya Karma na namna ya kuwatenda wengine na hata kama ikija ku - backfire/ kumrudia basi anakua tayari kisha tengeneza mazingira na ulinzi wa kutosha juu ya karma yoyote ile iwayo kasoro Kifo/Mungu.
(hapo mfikirie Mzee wa Vijisenti, one of the best Lawyers you could ever come across! But was it really a coincidence awe the best mtaalamu wa sheria then awe the best t****f ever?) Karma?/Kujipanga?

We are all cut from the same cloth, our only differences are the angles on where we stand that hinders our perceptions & personalities!

*my 2 cents.
 
1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.

2. The religion may seem to "make no sense" to some unscrupulous individuals, but that does not in any way invalidate its genuiness and its usefulness and its inevitableness. The fact that religion does not always make sense is one of the greatest evidences in support of its divine precedence. This is why we must believe, as you rightly said.

3. Dini wala haiko kwa ajili ya wanadamu "kutishia na kutawala wenzao." The whole point of religion is that of understanding who God is, and that He dearly loves all people and He has wonderful eternal plans for each one of us, you included.

4. "Jicho kwa jicho; jino kwa jino," just as it sounds, is not a rounded, complete, divine injuction. It is simply a portion of the whole story. And there are countless references within the same document unazoweza kuthibitisha what is actually the case. Even more importantly, it is not a haphazard, arbitrary injuction, as you would like it to be, but rather an official mandate that had been previously delegated to be enforced by responsible authorities which are installed through God's permission and are thus recognized by Him.

5. Mungu never directly wrote any of the books that we have them today as His Word, but He did inspire those servants, saints and people who wrote them! Get that?
Didn't get any of these nonsense you wrote herein. I repeat religion is NOT God and God is NOT religion, dini was merely brought to scare people. Mkuu soma "The Council of Nicea," huu upuuzi wa dini ni usanii tu. Get over it!
 
Back
Top Bottom