Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
sio sahihi kutokana alikadhalika haijakamilika refer to msingi potofu uliotumika kujenga hoja kua na vinasaba vya logical fallacyConclusion hiyo kwamba sigara haina madhara kwa sababu haikuonekana kwa the alleged smoker (your babu) ni sahihi LAKINI SIYO KAMILI.
Zipo factors nyingi SANA TU za kuzingatia: genetic make up yake, mtindo wake wa maisha kijumla, aina ya vyakula, care na attention aliyokuwa akipata, special muujiza na kadhalika na kadhalika.
ulichokiandika hapa sidhani kama ulifikiria mara mbili, sidhani kama ulikua unakusudia kuiongelea sumu ya nicotine kwa upana wake kua athari zake zinaweza fifishwa na lishe.
muujiza ni nini? unaweza kuthibitisha muujiza upo na sio imaginary concept?
ushahidi bila uthibitisho wa kufuata mtiririko wa utafiti huo ni uhuni wa kulazimisha mawazo yako kichwani yakubaliwe kindeziThe point is lazima ushahidi ukaribie beyond reasonable doubt ili uwe valid na utumike kwa watu wote.
hujathibitisha hapa laana ipo, wala KARMA kua ipo
weka uthibitisho wa haya uliyoyaandikaControl experiment ni muhimu sana! Having said that, the law of curse & blessing
hiyo ni "BANDWAGON APPROACH" kuamini kwamba kwa kua watu wengi wanaamini hoja fulani au wanakubaliana na mtazamo fulani basi hoja hiyo lazima iwe kweli au hatua hiyo ni lazima ifuatwe hiyo ni fallacy(Curble ama Karma) inasapotiwa na almost kila mtu ambaye amewahi kuishi duniania akiamua kuwa honest! In short, the evidence is overwhelmingly beyond threshold point!
kukubalika kwa hoja na watu wengi hakuthibitishi kwa namna yeyote kua jambo hilo ni sahihi au ni kweli