Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Karma ni real, what's goes around always comes around
 
Ninacho amini kitu kinachorudia kwa mtu ni kule alicho kusudia, kwa mfano deni...kuna mtu anakua anamdai mtu pesa na kamwe hamlipi kwa kipindi kirefu mpaka mkopeshaji anaamua kusema namuachia MUNGU.

Hapa kuna mkopaji ana moyo kabisa wa kulipa deni lakini anapita miaka akiwa bado amekwama na anaishia kupata pesa ya kula na yenyewe inamsumbua sana sana,anakua hajadhamiria kuzurumu mtu na anamuomba MUNGU ampatie ili awe na pesa ya kula na aweze kumlipa mdeni wake.

Huyu wa hivi anaweza asipate madhara sema watu hua hawajui tu na wakiwa na kakitu wanadhani mdeni wake anakusudia

Isipokua mdaiwa akiacha kwa kudharau tu na kiburi amedhamiria kua halipi na pesa anapata basi huyo itatimia mnayosema.
 
Kuna wamama walinidhulumu hela yangu ya kuku jamani, niliwapelekea kuku wakanipa hela kidogo, hiyo nyingine nilifuatilia hadi nikachoka kwa kweli, na nilikuwa napitia kipindi kigumu kweli kweli 😢😢😢mwishoni niliamua kumwachia Mungu na sikwenda tena kudai hadi leo
 
Mkuu Kama walikudhulumu kwa makusudi karma will catch up with them ama hata ukute ilishawapata. Utapata walipata hasara ya pesa ama familia ilipitia shida magonjwa/ajali ikabidi watumie pesa.
 
Mkuu kusamehe ndio rule number one, Na kuhusu Karma sio eti umfatilie anaendeleaje na kumuombea mabaya. Samehe and leave it to God. Karma will catch up with them hata bila wewe kujua though wengine huona how karma catch up na waliowatendea mabaya.
 
Uko Sawa 100%
 
Mkuu kusamehe ndio rule number one, Na kuhusu Karma sio eti umfatilie anaendeleaje na kumuombea mabaya. Samehe and leave it to God. Karma will catch up with them hata bila wewe kujua though wengine huona how karma catch up na waliowatendea mabaya.
Sio muumini wa Imani yako hii mkuu

Siombei mabaya yawakute walionikosea
 
Sio muumini wa Imani yako hii mkuu

Siombei mabaya yawakute walionikosea
Karma humuombei mtu mabaya yamtokee infact ukiwa unamuombea mabaya yamtokee utasubiri Sana. Samehe and move on na maisha Kama vile hajawahi kukukosea. Karma itself will catch up na huyo mkosaji.
 
Karma humuombei mtu mabaya yamtokee infact ukiwa unamuombea mabaya yamtokee utasubiri Sana. Samehe na usahau then leave it Kama haijawahi tokea. Karma itself will catch up na huyo mkosaji.
Sawa siamini karma labda [emoji16]
 
Karma humuombei mtu mabaya yamtokee infact ukiwa unamuombea mabaya yamtokee utasubiri Sana. Samehe na usahau then leave it Kama haijawahi tokea. Karma itself will catch up na huyo mkosaji.
Anyway nature Ina way yake ya kufanya vitu .....

Achana na nature kabisa

Naelewa unachosema

Uwe na siku njema
 
Well said mafisadi wanaiba na wanazidi kupeta hamna karma Wala Nini ni unyonge tu survival for the fittest
 
Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.

Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5

Na sauti ya karma inanijia
See! The voice huwa ni so powerful & loud within kiasi kwamba huwezi kuipinga. Watu wasiangalie karma (laana) kama tu matokeo ya kutenda ubaya. Vilevile kuna karma (baraka) ya kutenda mema!!! Those who spend their time wishing for somebody else's death ama failure, huwa nawahurumia sana! They know not wanachokifanya. We should be good wishers na watoa barka kwa wengine! What goes around normally comes around! Hakuna tendo jema ama baya, even if infinitely small, ambalo halitakuwa repaid back in kind, au hata kwa kiwango kikubwa zaidi!
 
Well said mafisadi wanaiba na wanazidi kupeta hamna karma Wala Nini ni unyonge tu survival for the fittest
Not true! Hakuna watu wanaosuffer kama hao. Usipime maumivu ya kuwa na wounded conscience! By the way their short time "dundizim" (kudunda) which appears to be the case in this life is fickle, transient and purely illusive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…