Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Your reasoning sounds good kwa sababu ungependa kuprove scientifically! Lakini pia katika sayansi kuna reasonable assumptions na estimations ambazo huchukuliwa kuwa very logical & affirmative endapo zikiwa within acceptable parameters. Sasa kwa idadi ya visa vya karma (baraka & laana) ni dhahiri kabisa kwamba probability husika ni kubwa sana kiasi cha kurule out factor ya sheer chance na coincidence! You better believe it! Hii ndiyo mojawapo ya vitu vimewaknock out atheists na wasiomwamini Mungu.Visa hivyo unavihusishaje na KARMA na sio kwamba kuna kitu kingine usichokijua kimesababisha?
Sasa ndiyo kukasirika hadi unatetemeka vidole vinaboronga mwandiko hivyo!??? Wewe unasifu nature, wakati the fact of the matter is, kuna force beyond nature. Ukuega basi kidogo, sawa?Nimesema greater khee miwatu mingine bhna
Anaye operate nature si ndo Mungu
Una akili ?
Ntetemeke vidole kisa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndiyo kukasirika hadi unatetemeka vidole vinaboronga mwandiko hivyo!??? Wewe unasifu nature, wakati the fact of the matter is, kuna force beyond nature. Ukuega basi kidogo, sawa?
Wala huna sababu ya kubisha! Najua wewe mwenyewe unayo majibu. Hakuna mtu ambaye hajawahi kuexperience karma (law of curse & blessings)!!!Hakuna kitu cha KARMA kihalisia nje ya msemo.
Hapo ungeniambia kitu kinacho relate na saikolojia kulingana na namna mtu anavyo perceive jambo kwa negative way ndivyo anavyozidi kujikuta anapata madhara ningekuelewa
Wrong. "Mafanikio hayana chama!" Kuwa na mafanikio haina maana kwamba umekwepa law of curse & blessings (KARMA). Mtu anaweza kuwa godly, lakini asiukwae utajiri; mwingine akawa extremely evil na mkwasi kinoma. Retribution ya law of curse and blessing (karma) inakujaga kwa style yakeyake tu. But sharti ni kwamba lazima IKUJE & you must remember it very loudly & clearly. Ni sauti from unknown inakwambia na kukukumbushia baraka hiyo ama laana fulani ambayo umepata ni matokeo ya kitu fulani. And you can never gainsay it!Karma ni myth tu story za kufikirika "fantasy "
Na ukweli mchungu mwengine ni kwamba siku zote watu wabaya ndo hufanikiwa
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ndiyo hata mie nimeshangaa sana tu! Isijekuwa hiyo ni KARMA tayari imekupata, maana hizi vitu "know-mar sir-nuh!!!"Ntetemeke vidole kisa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1751][emoji1751][emoji1751]Ndiyo hata mie nimeshangaa sana tu! Isijekuwa hiyo ni KARMA tayari imekupata, maana hizi vitu "know-mar sir-nuh!!!"
[emoji23][emoji23][emoji23]Iliwahi kunikuta nikiwa karani, siku nikizidishiwa fedha nikakauka lazima siku hiyo nipate shoti. Hadi niliacha hiyo Tabia.
Hii inatokeaga Sana.Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.
Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5
Na sauti ya karma inanijia
KARMA ni maneno ambayo huwafariji watu wengi wanapokuwa katika hali isiyo ya haki au situation fulani yoyote ambayo hawana uwezo wa kudhibitiYour reasoning sounds good kwa sababu ungependa kuprove scientifically! Lakini pia katika sayansi kuna reasonable assumptions na estimations ambazo huchukuliwa kuwa very logical & affirmative endapo zikiwa within acceptable parameters. Sasa kwa idadi ya visa vya karma (baraka & laana) ni dhahiri kabisa kwamba probability husika ni kubwa sana kiasi cha kurule out factor ya sheer chance na coincidence! You better believe it! Hii ndiyo mojawapo ya vitu vimewaknock out atheists na wasiomwamini Mungu.
yani personal experience ndio uthibitisho wa kuonesha KARMA is real?Wala huna sababu ya kubisha! Najua wewe mwenyewe unayo majibu. Hakuna mtu ambaye hajawahi kuexperience karma (law of curse & blessings)!!!
Aiseee! Eti kwenye business wanasemaga lazima zile vitu zao makabati-kabati zibalance!Hii inatokeaga Sana.
Kuna aunt yangu alisafiri nje, huku nyuma aliacha anadai wapangaji wake akanambia niwafatilie since yeye atakuwa hayupo. Njia kuu ya mawasiliano yetu ilikuwa WhatsApp kila siku ananipigia wamekulipa, nenda kawadai. Huko nako ukienda kuwadai wapangaji pasua kichwa, aunt usumbufu unazidi WhatsApp call kila siku nikamblock WhatsApp aje kuwadai mwenyewe akirudi.
Hanioni WhatsApp akampigia mtu mwingine mbona simuoni online, nikamwambia yule mtu mwambie sim yangu imeharibika natumia torch siko WhatsApp. Akauliza fundi anataka shingapi nikamdanganya Bei akanitumia nikamtoa block hela nikala. Haikupita hata week nikaangusha hela Tena zaidi ya aliyontumia.
Kweli Karma is a bitch [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza, karma haihusiani na loss ama failure ama negative incidents peke yake -- ina pande mbili za sarafu. You can be cursed for an evil act ama uwe blessed for a generous one. The more you offer blessings to others, the more you create room for even more blessings that are even far greater in value.KARMA ni maneno ambayo huwafariji watu wengi wanapokuwa katika hali isiyo ya haki au situation fulani yoyote ambayo hawana uwezo wa kudhibiti
habari za KARMA ni idea ya kizamani ambayo haimaanishi kua jambo fulani ni kweli, na hicho unachokidai ni uthibitisho kimenihakikishia maradufu kua KARMA ni mitazamo yenu dhidi ya mambo ambayo hamyaelewi
KWAMBA
Mchizi kamcheat girlfriend wake, wakaachana. halafu mshkaji huyo huyo akaanzisha mahusiano mapya na mwanamke mwingine halafu huyo mwanamke naye amam-cheat msela, wakaachana
Hiyo ndio mnaita KARMA?
Kama lengo lako ni "kumfundisha," kama unavyodai, basi kisasi siyo neno wala tendo sahihi hapo! Kisasi kikubwa kabisa unachoweza kumfanyia mtu yeyote aliyekukosea ni kuzungumza, kuombana msamaha yaishe na kumove on just as peacefully as that. Yule mkuu wa giza hapendagi kabisa watu wajue njia hii, ndiyo maana anawapitisha shortcut mabondeni wanaishia kutumbukia mashimoni hawafiki waendako. Dada mmoja alikataa kureconcile na mumewe (just recently na kisa kilivuma sana mitandaoni), japo mume alikuwa ameonesha nia ya wazungumze wayamalize, the very night yule dada akapigwa na mumewe kwa kumziria plus plus, akapoteza maisha! Very sad!Mimi simtendei mtu mabaya kwa kudhamilia ila nalipiza kisasi na sisamehi mtu, yaani sijuwi kusamehe kwani nina amini kuwa hakuna mtu mzima anayefanya kitu bila kuwa na sababu. Hivyo basi, mtu mzima akinitendea makosa juwa kuwa amekusudia so I don't forgive, I will hurt them (awe mwanamme au mwanamke) kwa kukupa kipigo cha mwizi and move on ili liwe funzo kwake.
Ni kweli, si uongo.Habari zenu wakuu,
Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.
Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.
Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.
Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.
Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
Habari zenu wakuu,