Habari zenu wakuu,
Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.
Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.
Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.
Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.
Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
IMEANDALIWA NA TOSH ALKEBULANI LION
Destiny.....Roho yako ilivyojipangia mwisho wakati unavaa mwili. Roho ni sehemu ya UTAKATIFU MKUU....Ikiwa inataka kupata uzoefu wa dunia ta mwili huamua kuvaa mwili kwa maagano yake.
Kuwa naenda ulimwengu wa mwili...kazi yangu itakuwa hii na ile huko. Nikiimaliza nitarudi katika SOURCE kwa njia hii hapa n.k.
Baada ya hapo ROHO INAPEWA NGUVU YA HIYARI(FREE WILL POWER) au WILL POWER.
WILL POWER ni kitu muhimu sana kukielewa!!!
Hii NGUVU YA HIYARI INAKUWEPO ili kuendana vizuri na MWILI NA UWEZE KUPATA KILE UTAKACHOAMUA WEWE LWA UHURU WAKO MWENYEWE
Na hapa ndipo binadamu hupewa UTASHI. Viumbe wengine wana FREE WILL limited sana na wao wanaendeshwa na GREAT SOUL AU UTAKATIFU MKUU kwa programu zilizowekwa ndani mwao vizazi vyao vyote.
Sasa bila FREE WILL binadamu asingekuwa na MAAMUZI angeishi kwa kupelekwa na nature kama viumbe wengine.
Hivyo FREE WILL ni muhimu sana kuielewa. Huwa inafuta mambo mengi sana.
Kama Mungu mbona haji kusaidia wanaopata shida n.k.....HIZO SHIDA NI CHSGUO LA BINADAMU.
BINADAMU AMEPEWA UHURU KWA KUPITIA UTASHI ANAWEZA KUAMUA HATMA YAKE.
Hii ni BARAKA NA LAANA KUU KWA BINADAMU.
Hivyo binadamu wa akichagua kuwa mjinga wa ASILI AU MAMBO YA KIROHO YA KWELI BASI matokeo yote ni yeye tu amesababisha.
THE GREATEST SIN(FAULT) OF MAN IS THE IGRONCE OF GOD(NATURE/SPIRITUALITY).!!!!
Sasa binadamu kwa utashi huzaa kitu kinaitwa FATE.
Fate huzaliwa na kanuni ya CAUSE AND EFFECT(KISABABISHI NA MATOKEO).
Na cause and effect huzaa/huzaliwa na KARMA.
FATE, KARMA, CAUSE AND EFFECT zinazaliwa na FREE WILL POWER.
Sasa tuchukue mfano ufuatao.
Roho wakati inaumbwa ilichagua kuwa ITAISHI MIAKA 150 DUNIANI na itakuwa ni MWALIMU WA KIROHO na kwa kufanya hivyo itatimiza utimilifu na kuweza kupokewa tena katika CHANZO N.k
Pia inapewa MWONGOZO PEKEE AMBAO NI ASILI!!
YAANI ITAKAVYOKUWA MWONGOZO NI NATURE MAANA ASILI INA AKILI YA ROHO KUU TAKATIFU...!! SPIRITUALITY.
Baada ya agano hilo basi inapewa HIYARI PIA YA KUBADILI inachotaka na kupambana kufanya ilichochagua kwa ufasaha ili iweze kupokewa katika chanzo n.k.
Sasa hiyo roho inazaliwa/kuvaa mwili katika hali fulani inayoikuta. Inaanza maisha kwa vitu na hali itakayoikuta.
Ikikubali kupokea hali hiyo hata kama iko tofauti ni sawa tu. Maana ina HIYARI HIYO.
Ikiamua kufuata spirituality basi itatimiza AGANO LAKE n.k.
Sasa kutokana na mazingira au kufuta mifumo yenye ujinga wa NATURE/MUNGY n.k sasa inaanza kujitengenezea FATE yake yenyewe.
INACHOSABABISHA NDICHO ITAKACHO KIPATA(CAUSE AND EFFECT).
Hapa izaliwa KARMA.
Sasa KARMA inafanya kazi kwa KANUNI YA MVUTANO.
yaani kuna kanuni katika asili hasa katika level ya kiroho inaitwa LAW OF ATTRACTION.
YAANI KATI KIROHO VITU VINAVYOFANANA HUVUTANA NA VISIVYO FANANA HUKWEPANA.
HII NI TOFAUTI NA SHERIA ZA KIMWILI KAMA USUMAKU, CHAJI ZA UMEME n.k
Sasa KARMA IKO HIVI;
Ukimsababishia mtu(roho nyingine maumivu) ni kuwa yale maumivu yatatunzwa kwako kwa njia ya roho yako kujisikia hatia n.k
Yaani kila ufanyacho ROHO YAKO NDIYO MEMORY!!!!!
Hata ukifanya kwa mtu mwingine....ROHO YAKO INAHESABIA NI CHAKO MAANA UMEFANYA WEWE NA KINAKUHUSU AU UNA CONNECTION YAKO.
YAANI INATII CHAGUO LAKO. INATIMIZA JUKUMU LA KUKUTUNZIA UTEKELEZAJI WAKO WA MAJUKUMU YA HAPA DUNIANI. ROHO NI TIIFU SANA.
UKIAMUA HIKI NA KILE INAKUTUNZIA JWENYE FAIL LAKO!!!!
HII KWA KISASA WANAITA SUBCONCIOUS MIND.
Sasa kwa vile roho inatimiza unachotaka na asili inatumia LAW OF ATTRACTION basi;
ROHO ITAKUWA INAKUONGOZA KATIKA VILE VYOTE AMBAVYO ULIVIFANYA NA YENYEWE KUKUHIFADHIA!!!!!!!(Hii ni muhimu sana kuelewa karma).
Kama ilikuhifadhia maumivu ulowahi kusababisha na kujisababishia basi itahakikisha upo wakati lazima ukuongoze huko!!!!?
Hapa ndipo mambo ya 'BACKFIRE' yanakuja.
Ulifanya majungu mwenzio akafukuzwa kazi. Roho inaliweka hilo....itavuta hiyo hali mpaka itimie kwako pia.
Hii inatokea siyo kosa. Bali roho kama MEMORY ina tabia ya kujisafisha.
Ikiweka kitu ambacho hakikuhusu au kikikaa sana ndani yake itatafuta namna ya kuki delete!!
Itaendelea
Imeletwa kwenu na CHILAMBO CHILAMBO