Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Mbona kama unaenda kunielewa! Safi! Self defence ni muhimu kibaya kuanza tu..lakn kumaliza mbona hata mungu anaruhusu tu?
Haha careenjibebe mbona nimekuelewa hata kabla hujasema mengi. Mungu ameweka mipaka ya namna ya kudeal na dhilima tunazotendewa na wengine. Imagine ubaya unaotenda wewe kwa wengine au kumtenda Mungu, but He always gives you nafasi ya pili! I guess umenielewa!?
 
Unajua mi huwa namsamehe mwanangu mara nyingi na naamin hata mamaangu huwa ananisamehe wakati mwingine bila hata kuniambia? Lakin mtoto sanyingine anamkasirikia kabisa mzazi wake bila kujali chochote? Mungu atatusamehe lakn nautumia hivo uwezo wangu doh
 
Hiyo statement ya mwisho siyo accurate. Wapo wanaoishi hadi mwisho wa maisha yao. Wapo wanaosamehewa, na kadhalika. Wazo kuu: GOD knows His way! Tumwaminini sana tu!

cc: careenjibebe
 
Najaribu kutafuta kukuelewa careenjibebe Kama unaweza kuiweka katika lugha nyingine pls
 
Aah nimekusikia lakin we acha tu mi nilipize...mtu akianza mi namaliza asee acha niwe karma tu nishaumizwa sana maisha haya kutegemea karma..kwanza tangu nianze kulipiza hata matukio ya kuonewa yamepungua kila mtu ananiogopa
careenjibebe If I can ask you some pointed questions?
 
My friend! You don't even need to believe in anything before the natural law of curses & blessings strikes you.
hivi vyote vipo kwenye furushi moja za habari za kufikirika ambazo msingi wake ni personal experience. havithibitishiki
All you need to do is go on with your life, and sure enough, you will meet it already ahead on your way, and you will definitely be repaid IN KIND -- or even much more.
weka facts kuonesha uhalisia wake kua KARMA ipo, unatak kuniambia currently KARMA haipo ila ipo siku za mbeleni.

hizi ahadi mara nyingi zinatumika kuficha uongo baada ya kuishiwa hoja za msingi kwenye madai ya kufikirika, sasa naona unaniunganisha kwenye kundi moja la watu walioambiwa yesu atarudi waendelee kusubiri
Unasema hii law inadeserve REJECTION kwa sababu eti ni imani ya Wahindu na Wabudha!
sio ina stahili kukataliwa kwa matakwa yangu mimi, bali kitu chochote kile kinaenda against biblical hakipaswi kukubaliwa na wafuasi wa biblia. na ndio maana hapo juu nimekuwekea hoja ku-support madai yangu
Give me a break! Kwenye maisha yako usikubali kamwe "kumtupa jongoo na mti wake!" Do you know how things, REALLY, everybody else believes ambazo tunashare nao, even if kiimani sisi ni tofauti!??
kwa maana hiyo ni sahihi kukubaliana na jambo lililoelezwa kwenye dini nyingine kua ni sahihi wakati jambo hilo limeelezewa negatively kwenye dini yako?
PLS think outside the box, OK?
na ndio maana nimekuambia KARMA ni imaginations zenu tu nawe umenithibitishia kwa kunipa personal experience kua ndio kigezo thabiti cha kuonesha KARMA ipo
The law of curse and blessing (commonly known as karma) haiwi ya jamii fulani, mathalani Wahindu ama Wabudha, eti tu kwa 7bb wao ndio wameipopularaiz na kuiweka frontline. No! No way!
KARMA is the result of a person's actions as well as the actions themselves. It is a term about the cycle of cause and effect. According to the theory of Karma, what happens to a person, happens because they caused it with their actions.

kwahiyo mtoto wa miaka mitatu aliyebakwa na mtu mzima wa miaka 40+ tafsiri yake ni kwamba hilo tukio la mtoto kubakwa ni kutokana na mtendo mabaya aliyoyafanya huko nyuma?

hiyo ndio mnaita KARMA?
Lastly, unaonekana kutojua jinsi principle za retribution za Mungu zinavyofanya kazi.
Ukiambiwa weka uthibitisho wa madai yako unapiga chenga unabakia kusema "itakutokea tu ipo siku" sasa kwa mtindo huo unategemea nitajuaje?
kwani we unamjua mungu?
 
Haahaa lol
 
ngoja niwakumbushe hiki kisa kwa picha kilichotokea miaka ya nyumaa kidogo hapo belgium

pichani hapo ni mtoto ambaye kwa tathmini fupi tu hafiki miaka mitano akiwa ndani ya zoo cage ambapo watu walioko nje ya uzio huo wa hiyo cage wamelipia pesa ya kiingilio kwa ajili ya kumuangalia huyo mtoto ambaye walim-refer kama nyani

sasa kwa mujibu wa madai yenu kilichofanyika hapa ni KARMA kwamba kilichomkuta mtoto huyu kimetokana na matendo aliyowahi kuyafanya huko nyuma before. na kwa mantiki hiyo huyu dogo hastahili kuonwa kwa jicho la kiutu bali ni pure nyani kutokana na huko nyuma naye alishawahi kuwaona wengine kuwa ni nyani leo hii amelipwa hapa hapa duniani
 
Conclusion hiyo kwamba sigara haina madhara kwa sababu haikuonekana kwa the alleged smoker (your babu) ni sahihi LAKINI SIYO KAMILI. Zipo factors nyingi SANA TU za kuzingatia: genetic make up yake, mtindo wake wa maisha kijumla, aina ya vyakula, care na attention aliyokuwa akipata, special muujiza na kadhalika na kadhalika. The point is lazima ushahidi ukaribie beyond reasonable doubt ili uwe valid na utumike kwa watu wote. Control experiment ni muhimu sana! Having said that, the law of curse & blessing (Curble ama Karma) inasapotiwa na almost kila mtu ambaye amewahi kuishi duniania akiamua kuwa honest! In short, the evidence is overwhelmingly beyond threshold point!
 
The only problem inayofanya uwe wrong kwenye hii dhana ni kwamba the law of curse & blessing (curble or karma) is two sided -- inaweza kuwa positive ama negative. Halafu, whether it is positive or negative, huwa siyo mwisho wa story. It is divinely predetermined way of helping humans correct their past mistakes or reinforce their past virtues! If you did not know, every single action, however infinitely tiny it may seem to be, most definitely observes the law of curse & blessing.
 
Ulimwengu unajiendesha katika mfumo ulio balanced.kwahiyo ukitenda kitu Leo lazim kije show effect hat baadaye ili kubalance.

world is fair because is unfair to everyone
mimi Kila nikimaliza kula nyeto lazma nipate msala wwte
Lazima upate nini [emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha [emoji23]
 
Do you believe in the existence of a Supernatural Being called God? How powerful is your God? Can you trust Him with your issues? How many of your things, generally, can you trust Him with, and which ones are you not willing to let Him do it for you? Do you believe in forgiveness? Can you say that unatamani na pengine huna mashaka kuwa siku moja uwepo peponi pamoja na Mungu wako?

NB: Uko free kujibu kwa namna uonavyo vyema au unaweza kuskip unayoona hauko comfortable nazo, OK? And, in case you are wondering what I am after kwa maswali haya, nahitaji kujua jambo moja tu, ikitokea umeumizwa kwa kuonewa, kama ulivyosema, halafu somehow ikasikika sauti ya Mungu wako ikisema: "Niachie huyo, nitashughulikia na kosa lake!" Then, kweli ukakubali, ukamwachia. But siku zinavyoenda, unaona yule "mbaya wako" anadunda tu mtaani, hakuna hata kinachoendelea, na Mungu wako wala hata hajakupatia feedback. Maisha yakaendelea hivyo tu hadi mwisho kila kitu seemingly kiko kama kilivyokuwa. My simple question, Would you still continue trusting your God?
 
Unasema humtendei mtu ubaya kwa kudhamiria, lakini unasema husamehi anayekukosea! Si ndio ubaya wenyewe huo, hata kama umekosewa wewe???
 
Jibu lako hapo ni moja tu..naamin uwepo wa muumba naamini kuna hukumu pia!
Lakin sasa mi nimeonewa sana bila kujua..yaan god hakunishtua kama yanayonitokea ni kuonewa..mpaka nakuja kujua nishalia sana...nikakata shauri hakuna kurudi nyuma mwaa mboga nimwage ugali

Mimi ni mtoto wa mungu akiniahid inabid atekeleze ni wajibu wake kwakua mie ni mtoto wake tena naamin anayenipenda kabisa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…