Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

Umeanza utekelezaji, unaendelea aje?
 
Naamini Tz ni ngumu sana kufanikiwa, ni sehemu isiyo na usalama (utulivu) na uhakika wa kufanya lolote, kwani hakuna utii wa sheria na taratibu.
 
Naamini Tz ni ngumu sana kufanikiwa, ni sehemu isiyo na usalama (utulivu) na uhakika wa kufanya lolote, kwani hakuna utii wa sheria na taratibu.
Yah ilo ujakosea kabisa mkuu
 
Mtu asipotoa sadaka.afanikiw
Kama hutoi sadaka mafanikio yako yatakua kawaida yaani ya kusua sua sana.

Lakini ni vema hata ukawa baridi ukamtolea sadaka shetani kupitia mawakala wake waganga wa kienyeji nako naona wanafanikiwa.

So either be hot or cool, ila usiwe neutral maana mambo mengi yanaenda kwa super natural pawer. Mwachiluwi

Kuna comment moja hapo juu anasema, utafanikiwa kwa maombi au ndumba.!
Yupo sahihi sana, cha kuongeza ni kwamba hivyo vyote vinaeda na sadaka maalaumu.

Ukitumia ndumba lazima uwe na mganga wako unampelekea sadaka ( ng'ombe, kafara, pesa n.k)
Vile vile maombi lazima utoe fungu la kumi, upeleke sadaka wa yatima n.k

Bible inasema usipotoa sadaka utakua unaweka pesa kwenye mifuko iliyotoba.
 
🪓
 
Hapo sasa nmekuelewa ww unatumia nini hapo haswa
 
Kumcha Mungu, Juhudi na Bahati. Siamini kabisa katika miujiza ya kiuchumi labda ya kiroho.
 
Mimi naamini kila mtu anakitu chake ama eneo lake ambalo aanalimudu zaidi ya mwingine.
Chochote utakacho kifanya ukiweka bidii/juhudi na nidhamu, lazima ufikie malengo na mafanikio yako
Kuna vitu ukivifanya hata ufanyaje kuna sehemu hutafika...i mean kuna grade ya maisha usitarajie kabisa kufika kwa kazi fulani au biashara fulani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…