Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

Unaahirisha sherehe za uhuru halafu unanunua mabehewa ya mchongo. Watuambie uzinduzi wa takwimu za sensa walikula bei gani
 
Ili kubalance mambo, mwakani tarehe 12 January, apige marufuku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar (kwani yeye si ni Rais wa Tanzania bhana), na pia tarehe 26 April apige marufuku sherehe za Muungano.

Halafu amalizie kwa kufutilia mbali zile mbio za mwenge, ili hela zilozoyengwa huko zikasaidie huduma mbalimbali za jamii.
 
Huwez sikia mapinduzi day imeahirishwa hata siku moja, Ni sherehe ambayo inafanyika February Ila shamra shamra zake zinaanza mwez wa 12 Ni sherehe kubwa Sana kwa wazanzibar Ila Uhuru wa Tanganyika unaonekana hauna maana
Rekebisha hapo kwenye mwezi February. Kumbukumbu ya Mapinduzi "matukufu" ya Zanzibar ni tarehe 12 January kila mwaka!

 
Back
Top Bottom