Ili kubalance mambo, mwakani tarehe 12 January, apige marufuku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar (kwani yeye si ni Rais wa Tanzania bhana), na pia tarehe 26 April apige marufuku sherehe za Muungano.
Halafu amalizie kwa kufutilia mbali zile mbio za mwenge, ili hela zilozoyengwa huko zikasaidie huduma mbalimbali za jamii.