Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ni wiki ya pili sasa naishi na mshkaji wangu X kwenye geto langu hapa Dsm kutokana na sababu zisizowahusu (Ninae nyumba mkoani, nipo hapa Dar kama mfanyabiashara X wa kupita tu)
Jana usiku mida ya saa 4 nimebisha hodi nikiwa natoka mishen town, jamaa akawa anaitikia kwa mashaka huku anakukuruka huku na huko, just imagine niko kwa mlango, lakini nasikia mfukunyuko wa hapa na pale
Kwa mara ya kwanza nikajua jamaa kavusha demu kwenye chumba ambacho sijawahi kukifanyia ufirauni wa aina yoyote ile. Moyo ukasononeka sana, istoshe alikuwa na mazoea na kibinti cha mpangaji mwenza ambacho nilikuwa nakielewaga kitambo sema tu udomo zege ukaniponza, nikasema Baaaaaasi, kwisha habari
Baada tu ya kufungua mlango, nikazama chini ya kitanda, sikukuta mtu yoyote hata yule binti, kamoyo kakafanya ewu! Nikaamua kufanya upembuzi yakinifu kitu kilichomfanya jamaa kuhaha, kwanza nikagundua suruali aliivaa nje ndani, ile kutuisha mguu pembezoni mwa kitanda, ni kama pamemwagwa mafua, ile ana unlock simu yake kwa kitete, ni full misauti ya warumi, akaimute chap, ile kainua kiganja nikajikuta nasikitika sana, kumcheki usoni, kajipakaza. Kucheki nyuma ya mlango, kuna tissue imejaa vitu vya ajabu
Hivi unapata wapi ujasiri wa kujianika na kujipa uhuru 100% kwenye geto la mtu?