The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa MagufuliTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Fanya mazuri kwa nchi yako lakini USIUE!Bwawa la Nyerere walipinga
SGR walipinga
Kununua Ndege walipinga
Kwa sasa wanamsifia huyo chura
Rest in peace JPM
Kama wewe huwa unakula mavi hivi utamlazimisha na mama yako ale mavi?Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Au tuwaulize ndugu zake mzee kibao na saliva wanajua n jinsi gani JPM alikuwa katili 😂Waulize swali hilo ndugu za kina Lwajabe, aliyekutwa msituni Mkuranga kauwawa.
Tunashukuru mungu alimchukua mapemaWatanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa lakini ni Mungu pekee ndiye anayeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Yupo vizuri, maana katika uongozi wakeHi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Kwani sasahivi watu hawatekwi na kuuwawa,sio kila kitu ni kumlauma rais wengne wanauwana kwa mazingira yao binafsi kama mapenzi,mali na kugombea madaraka ndani ya chama chao.Fanya mazuri kwa nchi yako lakini USIUE!
Mimi ni miongoni mwa wanaomchukia Magufuri kwa matendo yake mabovu ya ukiukaji wa sheria na uminyaji wa Haki za Binadamu.Pili n mtu pekee aliyehalalisha matumizi ya mali ya umma kwa ajili ya matumizi binafisi mfano kuifanya Chato kuwa jiji na Ikulu ya Tanzania.Hatukuwa na ukabila nchini lakini baada ya huyu mwamba kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukabila na ukanda vilishamiri kwa speed ya 4G.Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Nchi ya Chato na Sukuma gang empire.Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa lakini ni Mungu pekee ndiye anayeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Kwa msemo wako huu CHADEMA ndiyo waovu wa Tanzania na maisha yako kwa ujumla.Kiasi kikubwa JPM alidieal na waovu hakudeal na raia wema, kwa bahati mbaya kwenye nchi yetu waovu karibu wote wamejifichia kwenye vyama vya siasa.