Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa, lakini ni Mungu pekee ndiye anaeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Yupo wapi Ben sanane???
 
Kwani wewe ungepewa uRais ungeshindwa kufanya mambo madogo hayo hapo juu kwa fedha za umma?? Mbona mnajidharau sana??
Nyumbu akishakula nyasi na kunywa maji, kinachofuata ni kujinyea tu. Nicho anachokiweza
 
El
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa, lakini ni Mungu pekee ndiye anaeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Mnyonge ni mtu wa aina ipi?
 
Hi great Thinkers.

Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Alikuwa straight sana. Hata hivyo Waziri Mkuu hapa alilega alitakiwa kuchukua hatua yeye mwenyewe kwa kuagiza vyombo vya dola vishughulike na hao watumishi wahalifu.
 
Magufuli ni bonge la kiongozi kwa watu wenye akili ndogo tu ila kwa watu smart Magufuli alikuwa na mapungufu mengi sana
 
Ngoja nisome tena kitabu cha kabendera kwanza..!!
 
Hi great Thinkers.

Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Baba anabaka na kupiga mke na watoto kila siku, ila kwa vile wanaishi masaki, wanaendesha ma Vogue, kila wiki wanaenda ulaya, huyo ni baba mzuri! Akili mfu hizi.
Jiwe Ali kuwa shetani,mfumo wake wa kufanya kazi, populist, huwa haudumu, aliua,amedhulumu Sana, ha kuongeza mapato ya nchi zaidi ya kukopa kopa tu,
 
Ndugu wa Ben Saanane wakiuona huu uzi lazima wasunye na kulaani kabisa, pamoja na mazuri yake machache ila ni ukweli usiopingika kuwa yule mtu alikuwa ni dhalimu na katili kupitiliza, ila Mungu amrehemu huko alipo
 
Hi great Thinkers.

Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Ninasikia kuwa maagizo hayo hayakuwahi kutekelezwa na bw. Ntunzwe hakuwahi kulipwa hiyo fidia, hali iliyopelekea mwaka jana akajiua kwa kujipiga risasi akiwa kwao huko Urambo Tabora.

Kifupi hatunaye tena duniani huyo mfanyabiashara aliyekuwa akitetewa.
 
Kumbe magufuli ndie alifufuka akaja kuwaua akina Mzee Ali kibao, soka na wengine waliopotea kama yule kijana aliechoma picha ya hangaya kule mbeya! Nchi hii imejaa viumbe wa hovyo wasiojua hata kilicho bora kwao!
Kuwa mpole, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.
Hukumu yaja kwa kila nafsi, damu ya mtu awaye yeyote haipotei bure.
 
Back
Top Bottom