Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Kiukweli Magu aliipenda sana nchi hii na alipiga sana kazi na kuliheshimisha taifa.
Sema tu wala rushwa na wezi wa mali za nchi wana ushirikiano sana na wana nguvu sana wakikuzushia jambo lazima uonekane ulikuwa mbovu.
Huenda ikachukua miaka mingi sana kumpata rais mchapakazi kama huyu kwani mazingira yote ya kumpata wa karba yake yako mikononi mwa mafisadi hivyo yako makini mno kupitisha watu wa karba ya mwamba sana sana tuwategemee kina Samia, Makamba, Ridhiwani, Mchengerwa na wahuni wahuni wa namna hii.