Rais wa ovyo kuwahi kutokeaHi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Soma vizuri ndugu uelewe. Wanasiasa waovu hawana chama, wao wapo ccm na wengine wapo Chadema. Na ndio maana JPM alichuka watu kutoka chadema akawaleta ccm kujenga nchi. Kufupisha maelezo naweza kusema wazelendo wengi na watu wasafi wengi hawapo kwenye vyama vya siasa na wengi walio kwenye siasa japo sio wote wana agenda zao binafsi tofauti na agenda za kitaifa na ndio maana huwa wanapinga kila kitu eidha kwa kujionesha kupitia upinzani au kutumia mamluki.Kwa msemo wako huu CHADEMA ndiyo waovu wa Tanzania na maisha yako kwa ujumla.
Vipi sasa damu haimwagiki mbona mnataka kukimbia uchaguzi...mmekwisha hamna pa kutokea!Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Kumbe magufuli ndie alifufuka akaja kuwaua akina Mzee Ali kibao, soka na wengine waliopotea kama yule kijana aliechoma picha ya hangaya kule mbeya! Nchi hii imejaa viumbe wa hovyo wasiojua hata kilicho bora kwao!Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Mfumo wake wa mauaji bado una prevail.Kumbe magufuli ndie alifufuka akaja kuwaua akina Mzee Ali kibao, soka na wengine waliopotea kama yule kijana aliechoma picha ya hangaya kule mbeya! Nchi hii imejaa viumbe wa hovyo wasiojua hata kilicho bora kwao!
Wanatulazimisha tumkubali kwa upande wanaotaka wao, bila kujua sisi tunamjua pande zake zote 2.Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Sisi hatukimbii uchaguzi, bali hatushiriki upuuzi. Unakwama wapi boss?Vipi sasa damu haimwagiki mbona mnataka kukimbia uchaguzi...mmekwisha hamna pa kutokea!
Nakazia!!๐ฟFanya mazuri kwa nchi yako lakini USIUE!
Muda ni mwalimu....!Sisi hatukimbii uchaguzi, bali hatushiriki upuuzi. Unakwama wapi boss?
naungana na wewe mkuuKiasi kikubwa JPM alidieal na waovu hakudeal na raia wema, kwa bahati mbaya kwenye nchi yetu waovu karibu wote wamejifichia kwenye vyama vya siasa.
Rafiki yangu Jidu,Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Kama yeye alicyosifiwa pia kwa ya mtangulizi wake, ni kwa vile tu mna chuki za hatari kwa huyu mama ndo maana lkn mnajua vzr tu kuwa anastahili credit.Bwawa la Nyerere walipinga
SGR walipinga
Kununua Ndege walipinga
Kwa sasa wanamsifia huyo chura
Rest in peace JPM
Chukua maua yako๐๐๐๐Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
mauaji makubwa! kama watu elfu ngapi waliuliwa? halafu unitajie utawala ambayo hajaua kabisa.Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Atuambie utawala wa kiongozi gani au nchi gani ambao haujaua.mauaji makubwa! kama watu elfu ngapi waliuliwa? halafu unitajie utawala ambayo hajaua kabisa.
Huu wote ni ujinga na kushabikia ni ujinga.Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Yes nitakuwa Raisi one day mtalimia meno haki ya nani. Sicheki na kima mimiBasi tukuchukie wewe badala yake
Wewe na Bitizo wako kaimbeni taarabu kizimkazi. Kazi ya uraisi imewashinda unajua dramaa au unazisikia?Huu wote ni ujinga na kushabikia ni ujinga.
Kwa sababu ni drama ambazo hazina tija kwenye kujenga mfumo unaodumu.
Magufuli alijua kutengeneza show za kuwashikia akili Watanzania wengi.