Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

Mfumo wake wa mauaji bado una prevail.
Aliyemtesa Dr ulimboka ni nani? Je mashekh wa uamusho walifungwa na nani. Kule zanzibar 2000 mauaji alikuwepo nani bila kusahau mwembe yanga.

Achankufikiri kaa akili ndogo na urafi/Ubinafsi
 
Unahitaji kwenda VETA you have very poor reasoning capacity
 
KUONGOZA MPKA UWE MKATILI KM MAGUFULI?
Your browser is not able to display this video.

Basi hao hapo amabao siyo.katili nadhani machawa wa Bitozo ndo mnavyotaka ujinga mtupu uzuri wanachi sasa wanajielewa
 
Wewe na Bitizo wako kaimbeni taarabu kizimkazi. Kazi ya uraisi imewashinda unajua dramaa au unazisikia?
Yani wewe ngumbaru ushakariri kuwa kila mtu anayemsema Magufuli vibaya ni shabiki wa Samia.

Huelewi kuwa kuna watu tunaona Magufuli na Samia wote ni ujinga uleule tu.
 
Yani wewe ngumbaru ushakariri kuwa kila mtu anayemsema Magufuli vibaya ni shabiki wa Samia.

Huelewi kuwa kuna watu tunaona Magufuli na Samia wote ni ujinga uleule tu.
Hilo nalo ni tatizo la mtindio wa ubongo kumfananisha samia na magufuli
 
Vipi sasa damu haimwagiki mbona mnataka kukimbia uchaguzi...mmekwisha hamna pa kutokea!
Kinachowaponza wanasiasa waovu wao huungana kuteteana pale anapotokea kiongozi anayewakabili. Watamsakama bila kijali itikikadi zao za vyama. JPM ni kiongozi aliyejipambanua kwa uwezo wake, ndio maaba alipendwa na raia wa kawaida wasio na vyama ila hawa wafia vyama ambao wapo kwenye vyama kwa target fulani kamwe hawawezi kumuelewa. Kwa kuwa wao maendeleo ya wananchi sio agenda yao bali vyama kwanza.
 
Hi great Thinkers.

Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Unaanzanje kumpenda muuaji, mtekaji na muongo na mwizi wa mali ya umma?? Utakuwa ni HAYAWANI!!

MAGUFULI aliwafanyia brainwash ya kiwango cha dreamlike, yaani muko sawa na misukule tu. Akili itwarudi labda akifufuka
 
Mkuu umenena vyema kabisa huo ndio ukweli!
 
Mimi nimelata video ya mfanya biashara aliyedhulumiwa mali yake analipwa fidia na magufuli kuwawajibisha watendaji wazembe.

Sasa tuletee na wewe video Magufuli akiwa anaua. Usije ukawa cheti fake wewe tukupeleke VETA
 
Bwawa la Nyerere walipinga
SGR walipinga
Kununua Ndege walipinga
Kwa sasa wanamsifia huyo chura
Rest in peace JPM
Kwani wewe ungepewa uRais ungeshindwa kufanya mambo madogo hayo hapo juu kwa fedha za umma?? Mbona mnajidharau sana??
 
Mimi nimelata video ya mfanya biashara aliyedhulumiwa mali yake analipwa fidia na magufuli kuwawajibisha watendaji wazembe.

Sasa tuletee na wewe video Magufuli akiwa anaua. Usije ukawa cheti fake wewe tukupeleke VETA
Soma kitabu hiki;-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…