Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Yupo wapi Ben sanane???Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa, lakini ni Mungu pekee ndiye anaeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Sasa hayati anachukiwaje? Ili iweje?Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Nionyeshe kabuli la Ben sanane nikuonyeshe kabuli la Ally kibaoYupo wapi Ben sanane???
Nataka video kama yangu hapo juu kama ushahidi.Soma kitabu hiki;-
View attachment 3279829
Nyumbu akishakula nyasi na kunywa maji, kinachofuata ni kujinyea tu. Nicho anachokiwezaKwani wewe ungepewa uRais ungeshindwa kufanya mambo madogo hayo hapo juu kwa fedha za umma?? Mbona mnajidharau sana??
Umemaliza. Umeandika maneno 7 yenyewe uzani wa mlima Kilimanjaro.Fanya mazuri kwa nchi yako lakini USIUE!
Mnyonge ni mtu wa aina ipi?Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa, lakini ni Mungu pekee ndiye anaeweza kuwaelewa. R.I.P Mtetezi wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli, hakika wewe ulikuwa Raisi wakweli mwenye uchungu na nchi yako.
Alikuwa straight sana. Hata hivyo Waziri Mkuu hapa alilega alitakiwa kuchukua hatua yeye mwenyewe kwa kuagiza vyombo vya dola vishughulike na hao watumishi wahalifu.Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Mo alivotekwa alikuwa mhuni???Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Huyu ndiye yule mhandisi!?Waulize swali hilo ndugu za kina Lwajabe, aliyekutwa msituni Mkuranga kauwawa.
Baba anabaka na kupiga mke na watoto kila siku, ila kwa vile wanaishi masaki, wanaendesha ma Vogue, kila wiki wanaenda ulaya, huyo ni baba mzuri! Akili mfu hizi.Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Akavishwa jezi mpya ya chelsea huku yeye ni shabiki wa Man U, hii ni baada ya shati alilovaa kutokea nyumbani kwake kujaa damuWaulize swali hilo ndugu za kina Lwajabe, aliyekutwa msituni Mkuranga kauwawa.
Ninasikia kuwa maagizo hayo hayakuwahi kutekelezwa na bw. Ntunzwe hakuwahi kulipwa hiyo fidia, hali iliyopelekea mwaka jana akajiua kwa kujipiga risasi akiwa kwao huko Urambo Tabora.Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu kwerikweri. Wahuni pekee ndo watasema walitesswa ila.ukweli ninkwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Ndio, damu yake bado inawalilia waliomuua.Huyu ndiye yule mhandisi!?
Damu ya mauaji hata ya mtu mmoja asiye na hatia inatosha kukuharibia nafsi yako milele.mauaji makubwa! kama watu elfu ngapi waliuliwa? halafu unitajie utawala ambayo hajaua kabisa.
Kuwa mpole, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.Kumbe magufuli ndie alifufuka akaja kuwaua akina Mzee Ali kibao, soka na wengine waliopotea kama yule kijana aliechoma picha ya hangaya kule mbeya! Nchi hii imejaa viumbe wa hovyo wasiojua hata kilicho bora kwao!