Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Ulipaswa uthibitishe kama magufuli ndio alifufuka akatoa order ya kumuua Mzee Ali kibao sio hizi porojo zako za hukumuKuwa mpole, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.
Hukumu yaja kwa kila nafsi, damu ya mtu awaye yeyote haipotei bure.
Una akili kama ya mende kudhani kuwa Magufuli hakuwa mwizi.Kiukweli Magu aliipenda sana nchi hii na alipiga sana kazi na kuliheshimisha taifa.
Sema tu wala rushwa na wezi wa mali za nchi wana ushirikiano sana na wana nguvu sana wakikuzushia jambo lazima uonekane ulikuwa mbovu.
Huenda ikachukua miaka mingi sana kumpata rais mchapakazi kama huyu kwani mazingira yote ya kumpata wa karba yake yako mikononi mwa mafisadi hivyo yako makini mno kupitisha watu wa karba ya mwamba sana sana tuwategemee kina Samia, Makamba, Ridhiwani, Mchengerwa na wahuni wahuni wa namna hii.
Yule kijana Chaula amepotea kipindi gani? Mzee Kibao kauawa kipindi gani? Bwana Soka na wengine wamepotea kipindi gani? Rushwa imeshamiri zaidi kipindi gani?Huwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Mwinyi, Nyerere na Mkapa ambao walikuwa ni ma Rais watangulizi na wametangulia mbele ya haki na hakuna mtu anawaandika kwa mabaya sawa na Magufuli?Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
View attachment 3279485
Kufa tukusifie,Ishi tukunangeHuwa watu kama mtoa mada wanajidai hawajui mauaji makubwa na watu kupotea wakati wa Magufuli
Nakupuuza kama ninavyopuuzia wapuuzi wengine!!Una akili kama ya mende kudhani kuwa Magufuli hakuwa mwizi.
Tujue na tuwe na uhakika kuwa saa ya malipoyaja.Yule kijana Chaula amepotea kipindi gani? Mzee Kibao kauawa kipindi gani? Bwana Soka na wengine wamepotea kipindi gani? Rushwa imeshamiri zaidi kipindi gani?
Dah!!..ni kweli walimlawiti kwanza kabla ya kumuua!?Ndio, damu yake bado inawalilia waliomuua.
Halafu akampiga mkewe hadi kulazwa Muhimbili.Magufuli alidili na mafisadi na vibarakawao papendikula.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wacha hiyo, alimbebesha mkewe Lori la mchanga kwa makarai ya kichwani piaHalafu akampiga mkewe hadi kulazwa Muhimbili.
Alikuwa kiboko.
Ndiye kipenzi cha watanzania huyo, mpenzi wake no 1, anambebesha lumbesa!Wacha hiyo, alimbebesha mkewe Lori la mchanga kwa makarai ya kichwani pia