Unaanzaje kuondoka CHADEMA HII hata kama CCM wanakununua Kwa Mamilioni ya FEDHA?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi.

Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja
HAKI

USTAWI WAO

Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi.

Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama umeahidiwa Mamilioni na Uongozi???.

Yaan una Chama ambacho kujaza mikutano ni Hadi Ma Bus yasombe watu Wilaya Kadhaa, Shule zifungwe siku hiyo, na wasanii wawepo .... ALAFU una Chama kingine kwanza kinapewa Uwanja wa Mkutano ulioko pembezoni Kwa mji, hamna Msanii, Hamna kusomba Watu, Ila watu wanakujaa, wanajaa na kusaza, na wanakichangia Chama Chao 🤣.

Una akili TIMAMU KABISA , unachagua chama kipi?
 
chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, mtu makini mwenye hekima na busara zake anaweza kubaki kwenye chama kama hicho kweli my friends, ladies and gentlemen? Tuwe wa kweli tu ndrugu zango.

huenda lofa asie na maono pekee ndie anaweza kusalia kwenye chama cha siasa kilichosheheni waropokaji na kilichopoteza muelekeo wa kisiasa na kukosa agenda kabisa :pulpTRAVOLTA:
 
Wee kilaza, Maelfu Kwa maelfu watanzania wanohudhuria na kukiunga chama hiki, ubora na weledi wa viongozi wake unazidi kuwaleta Wananchi pamoja na kuelewa Adui yao CCM.

Nachoweza kukuhakikishia, Kama hukumuelewa Mzee Msuya aliposema CHADEMA WANATAFAKARI KWA KINA SANA, NINGEPENDA NA CCM TUWE NA WATU WA AINA HII".

Msikilize basi Mzee Warioba 🤣
 
calm down gentleman,
Yes maelfu wanaweza kuhudhuria ili kujua na kuskia viongozi matapeli wakurupukaji wa chadema wataropoka na kudanganya nini kama ilivyokawaida yao?

huna haja ya kuhamisha mjadala wako mwenyewe tafadhali :pulpTRAVOLTA:
 
Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi.

Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja
HAKI

USTAWI WAO

Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi.

Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama umeahidiwa Mamilioni na Uongozi???.

Yaan una Chama ambacho kujaza mikutano ni Hadi Ma Bus yasombe watu Wilaya Kadhaa, Shule zifungwe siku hiyo, na wasanii wawepo .... ALAFU una Chama kingine kwanza kinapewa Uwanja wa Mkutano ulioko pembezoni Kwa mji, hamna Msanii, Hamna kusomba Watu, Ila watu wanakujaa, wanajaa na kusaza, na wanakichangia Chama Chao 🤣.

Una akili TIMAMU KABISA , unachagua chama kipi?
Chadema hakuna chama. Ni genge la wabangaizaji wa kisiasa.
 
Wanaohongwa wafanye kama Bon Yai. Mpunga unakula alafu unageuza giant angani.

Boni yai kuthibitisha hakunaga Mwaisa Mshamba zaidi ya Tulia Ackson Mwansasu.
 
chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, mtu makini mwenye hekima na busara zake anaweza kubaki kwenye chama kama hicho kweli my friends, ladies and gentlemen? Tuwe wa kweli tu ndrugu zango.

huenda lofa asie na maono pekee ndie anaweza kusalia kwenye chama cha siasa kilichosheheni waropokaji na kilichopoteza muelekeo wa kisiasa na kukosa agenda kabisa :pulpTRAVOLTA:
Unatia sama huruma masikini
 
Chadema hakuna chama. Ni genge la wabangaizaji wa kisiasa.
Kama ni hivyo Magufuli na sasa Mama Abduli wasingetumia mabilioni ya fedha za walipakodi ili kuiua CHADEMA
Two Dictators against CHADEMA na wameangukia pua.
 
Chadema inajiua yenyewe. Jiulize kwanza, wewe una akili gani ya kumshawishi mtu. Jiulize tu!
 
Amka usijinyee CHADEMA haifi.
Mi nakunywa Konyagi hapa. Naenda kulala kesho naenda kazini kulijenga Taifa. Ninyi kaeni mitandaoni mkiota eti CCM itatoka madarakani. Kwa taarifa yako, CCM ipo, juzi, jana, leo, kesho na keshokutwa ya keshokutwa. Hakuna mbwa inaweza endesha nchi hii. Ni CCM tu!
 
Back
Top Bottom