Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Wajanja wa cdm wanawalia chama la majizi ya kura hela zao kwa press uchwara. Inabidi warudi wakatathimini kweli kama press zitawatoa, maana mbinu za kizamani safari hii hazina nafasiNi sawa na kupishana na gari la mshahara.
Chadema ya sasa iko moto sana. Kila siku Wananchi wanazidi kuiunga mkono kwa kiwango cha kutisha.