Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wengi waliojaribu kufanya hivyo wamekufa waoWanasema Mama anaiua CHADEMA.
chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, mtu makini mwenye hekima na busara zake anaweza kubaki kwenye chama kama hicho kweli my friends, ladies and gentlemen? Tuwe wa kweli tu ndrugu zango.Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi.
Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja
HAKI
USTAWI WAO
Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi.
Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama umeahidiwa Mamilioni na Uongozi???.
Yaan una Chama ambacho kujaza mikutano ni Hadi Ma Bus yasombe watu Wilaya Kadhaa, Shule zifungwe siku hiyo, na wasanii wawepo .... ALAFU una Chama kingine kwanza kinapewa Uwanja wa Mkutano ulioko pembezoni Kwa mji, hamna Msanii, Hamna kusomba Watu, Ila watu wanakujaa, wanajaa na kusaza, na wanakichangia Chama Chao 🤣.
Una akili TIMAMU KABISA , unachagua chama kipi?
Wee kilaza, Maelfu Kwa maelfu watanzania wanohudhuria na kukiunga chama hiki, ubora na weledi wa viongozi wake unazidi kuwaleta Wananchi pamoja na kuelewa Adui yao CCM.chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, mtu makini mwenye hekima na busara zake anaweza kubaki kwenye chama kama hicho kweli my friends, ladies and gentlemen? Tuwe wa kweli tu ndrugu zango.
huenda lofa asie na maono pekee ndie anaweza kusalia kwenye chama cha siasa kilichosheheni waropokaji na kilichopoteza muelekeo wa kisiasa na kukosa agenda kabisa
calm down gentleman,Wee kilaza, Maelfu Kwa maelfu watanzania wanohudhuria na kukiunga chama hiki, ubora na weledi wa viongozi wake unazidi kuwaleta Wananchi pamoja na kuelewa Adui yao CCM.
Nachoweza kukuhakikishia, Kama hukumuelewa Mzee Msuya aliposema CHADEMA WANATAFAKARI KWA KINA SANA, NINGEPENDA NA CCM TUWE NA WATU WA AINA HII".
Msikilize basi Mzee Warioba 🤣
Chadema hakuna chama. Ni genge la wabangaizaji wa kisiasa.Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi.
Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja
HAKI
USTAWI WAO
Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi.
Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama umeahidiwa Mamilioni na Uongozi???.
Yaan una Chama ambacho kujaza mikutano ni Hadi Ma Bus yasombe watu Wilaya Kadhaa, Shule zifungwe siku hiyo, na wasanii wawepo .... ALAFU una Chama kingine kwanza kinapewa Uwanja wa Mkutano ulioko pembezoni Kwa mji, hamna Msanii, Hamna kusomba Watu, Ila watu wanakujaa, wanajaa na kusaza, na wanakichangia Chama Chao 🤣.
Una akili TIMAMU KABISA , unachagua chama kipi?
Unatia sama huruma masikinichama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, mtu makini mwenye hekima na busara zake anaweza kubaki kwenye chama kama hicho kweli my friends, ladies and gentlemen? Tuwe wa kweli tu ndrugu zango.
huenda lofa asie na maono pekee ndie anaweza kusalia kwenye chama cha siasa kilichosheheni waropokaji na kilichopoteza muelekeo wa kisiasa na kukosa agenda kabisa
ni ulofa kwa mwenye maono kusalia chadema gentleman 🐒Unatia sama huruma masikini
Wananchi wanataka mabadiliko! Wamechoka kuibiwa!Ni sawa na kupishana na gari la mshahara.
Chadema ya sasa iko moto sana. Kila siku Wananchi wanazidi kuiunga mkono kwa kiwango cha kutisha.
Kama ni hivyo Magufuli na sasa Mama Abduli wasingetumia mabilioni ya fedha za walipakodi ili kuiua CHADEMAChadema hakuna chama. Ni genge la wabangaizaji wa kisiasa.
Chadema inajiua yenyewe. Jiulize kwanza, wewe una akili gani ya kumshawishi mtu. Jiulize tu!Kama ni hivyo Magufuli na sasa Mama Abduli wasingetumia mabilioni ya fedha za walipakodi ili kuiua CHADEMA
Two Dictators against CHADEMA na wameangukia pua.
Wabangaizaji na matapeli WA kisiasa NI ccmChadema hakuna chama. Ni genge la wabangaizaji wa kisiasa.
Amka usijinyee CHADEMA haifi.Chadema inajiua yenyewe. Jiulize kwanza, wewe una akili gani ya kumshawishi mtu. Jiulize tu!
Dah! Wewe bonge la jiniasi la kinyumbu! Ahahahahaha!!!Wabangaizaji na matapeli WA kisiasa NI ccm
Mi nakunywa Konyagi hapa. Naenda kulala kesho naenda kazini kulijenga Taifa. Ninyi kaeni mitandaoni mkiota eti CCM itatoka madarakani. Kwa taarifa yako, CCM ipo, juzi, jana, leo, kesho na keshokutwa ya keshokutwa. Hakuna mbwa inaweza endesha nchi hii. Ni CCM tu!Amka usijinyee CHADEMA haifi.
Unaweza kudharauliwa hadi na wakwe zako kwa maamuzi hayo.Halafu kuhama Chadema ni jambo la Aibu ambalo hata Wahamaji wenyewe wanajificha