Mcharuko kuna wanaume walienda vitani Dhidi ya Idi Amini waliporudiGAZETI Mume wangu, Vipi ikitokea umesafiri safari ya mwaka mmoja au
Miwili ukanikuta nimezaa na mwanaume mwingine, uko Tayari kumpokea
huyo mtoto kama mwanao Pia?
Kama hana mtoto atakuelewa na kama ni mstaarabu pia atakuelewa, lakini kama mmmh!....... lazima ulinywe
Hapo kwenye vipato sijakuelewa mkuu, sijui inategemea vipi??
Hakuna ustaarabu wa aina hiyo, hapo solution ni kuondoka tu.
Hakuna ustaarabu wa aina hiyo, hapo solution ni kuondoka tu.
Yaani mie kama ni mtoto, niachwe hadi nifikee chuo kikuu ndio nitambulishwe? Nawakataa wote baba na familia yake siwataki tena.
Wa nini hata sina nao historia, aku nabaki na wale walle wwalionilea wananitosha kabisa.
Kitufe cha like sikioni!!! Ila unaistahili.Yaani mie kama ni mtoto, niachwe hadi nifikee chuo kikuu ndio nitambulishwe? Nawakataa wote baba na familia yake siwataki tena.
Wa nini hata sina nao historia, aku nabaki na wale walle wwalionilea wananitosha kabisa.