OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Kinachikufanya umthamini mtu ni historia mliyoitengeneza pamoja, hii huleta upendo. Alishindwa nini hata kunitembelea once in a while ili awe sehemu ya makuzi ya mtoto?
Kama ishu ni 'huduma alizotoa kwa usiri', aseme ni sh ngapi nimrudishie. Kama aliogopa kunitambua sababu ya mkewe, basi aendelee na mkewe. Kwani leo mkewe kafa ama kachuja hadi mie niwe na thamani ya kutambulishwa kwenye hiyo familia?
They are just strangers, na watabaki strangers milele, Ngoja nikuwekee kipande cha 2pac cha dear mama
Hapo nilipo-bold chini, unaona 2pac anaona thugs ni wa muhimu kwake, just because they showed love to him kuliko baba yake.
"No love from my daddy cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, cause my anger
wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was lookin for a father he was gone
I hung around with the Thugs, and even though they sold drugs"
They showed a young brother love
Mmmmmmhhh weewe huyu my dada Kongosho!!!!???????
Huwa machozi yananilenga akisema "huggin ma mama from the jail cell"..............maisha haya tuliyopitia na mama zetu acha tu !!!!!!!!!!!