Unaazaje kumueleza Mkeo kuwa una mtoto nje ya ndoa, Mwanamke unalipokeaje kutoka kwa Mumeo?

Mmmmmmhhh weewe huyu my dada Kongosho!!!!???????

Huwa machozi yananilenga akisema "huggin ma mama from the jail cell"..............maisha haya tuliyopitia na mama zetu acha tu !!!!!!!!!!!
 
Umeona eeh, huu wimbo ni vere dia to me, basi tu

Kweli mama ana nafasi yake, hata tutofautianeje, uhusiano wetu huwa hautetereki.

Acha tu hebu siku moja tafuta na Renee wa Lost Boys usikie kitu flani humo!!!!!!!
 
Kuwa msiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…