Nanunua mswaki wa Tsh. Elf 2000 kwa mmoja. Una brush laini na huchubui au kukwangua fizi na pia unachokonoa uchafu wote uliojificha hadi kwenye magego na mapengo.
Natumia dakika 2 hadi 3 kuswaki meno yangu.
Naswaki asubuhi (kila siku) na jioni (si mara zote). Natumia maswali kwa miezi 3 natupa nanunua mwingine.
Hii inanendana na pants, navaa miezi 6 hadi mwaka natupa nachukua mpya.
Si utajiri, ni unadhifu binafsi.