Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

======

1622364159162.png

Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
 
Nanunua mswaki wa Tsh. Elf 2000 kwa mmoja. Una brush laini na huchubui au kukwangua fizi na pia unachokonoa uchafu wote uliojificha hadi kwenye magego na mapengo.

Natumia dakika 2 hadi 3 kuswaki meno yangu.

Naswaki asubuhi (kila siku) na jioni (si mara zote). Natumia maswali kwa miezi 3 natupa nanunua mwingine.

Hii inanendana na pants, navaa miezi 6 hadi mwaka natupa nachukua mpya.

Si utajiri, ni unadhifu binafsi.
 
mswaki wangu natumia mpaka zile nywele zipotee ndo nafikiria ingine ya mti
 
Back
Top Bottom