Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje WanaJamiiForums

Binafsi huwa najisahau sana kubeba akiba nikiwa matembezi kitaa, mpaka kuna mda najiuliza hivi ndo ile nipo road mara paap! Nimeipush sahani ya maandaz bahati nzuri Mama muuza maandazi kaiwahi sahani, ila limedondoka andazi moja ndo naambiwa ushukuru limeanguka moja tu, haya lipa mia hiyo usepe
Halafu ndo kidume kizima nasema eti nisubir niende home chap nakuletea, hii ni fedheha hii
Au ndo ile unashikwa shat kisa mia, maana watu wamevurugwa siku hizi

Kuondoa yote haya now natembea na buku kama kilinda mfuko, je wew ukiwa street unakuwa na sh ngap mfukoni?
 
Mi huwa natembea na walet na kibunda chote hapo, la msingi M pesa yangu haiwezi kukosa ela ya emergency maana mimi nikifika sehemu kama umenambia nikusubiri may be lazima niingie bar kukata bia, nikirud home jioni lazima nipitie sehem iliyochangamka nipate bia, hiyo ela ya emergency ndo huwa ninaitumia kwenye bia sasa mdg mdg
 
Vizuri, muhimu ni kutembea na akiba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…