Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

30k to 50k cash nakua nayo tu pending muda wote ndio najisikia vizuri! Kama kuna dharula ya kuzidi hapo ndio nitumie means zingine ila si kutembea na pesa zaidi ya hapo
 
Inakuwaje WanaJamiiForums

Binafsi huwa najisahau sana kubeba akiba nikiwa matembezi kitaa, mpaka kuna mda najiuliza hivi ndo ile nipo road mara paap! Nimeipush sahani ya maandaz bahati nzuri Mama muuza maandazi kaiwahi sahani, ila limedondoka andazi moja ndo naambiwa ushukuru limeanguka moja tu, haya lipa mia hiyo usepe
Halafu ndo kidume kizima nasema eti nisubir niende home chap nakuletea, hii ni fedheha hii
Au ndo ile unashikwa shat kisa mia, maana watu wamevurugwa siku hizi

Kuondoa yote haya now natembea na buku kama kilinda mfuko, je wew ukiwa street unakuwa na sh ngap mfukoni?View attachment 2640545
Kadi ya bank na tigopesa inatosha
 
Wengi watajibu masiara najua, ila kiuhalisia (by nature) mimi sipendi kutembea na hela. Mara nyingi huwa natembea na simu, kwnye simu nina Wana na ndugu ambao nikipata dharula yoyote msaada ni dakika 0 na nikirudi geto nawatumia hela yao.
 
Inategemeana na siku nipo vip lak elf 30 vichej juu maan huku unawez uktembea na milion umeshikilia usipat jam yoyot ya wahuni yan full aman ukipotez ukamjua nan ameiyokot unaipat fresh usipomjua ndo imekula kwako
 
30k to 50k cash nakua nayo tu pending muda wote ndio najisikia vizuri! Kama kuna dharula ya kuzidi hapo ndio nitumie means zingine ila si kutembea na pesa zaidi ya hapo
Safi

Kutembea na akiba ni muhimu
 
Wengi watajibu masiara najua, ila kiuhalisia (by nature) mimi sipendi kutembea na hela. Mara nyingi huwa natembea na simu, kwnye simu nina Wana na ndugu ambao nikipata dharula yoyote msaada ni dakika 0 na nikirudi geto nawatumia hela yao.
Kwahiyo ikitokea umeangusha sambusa moja road unapiga simu[emoji38][emoji38]
 
Kawaida weekend natoka na 5k yangu najua nikifika ferry bondeni kahawa tangawizi tutakunywa sana. Ila epuka kutotembea na hela kabisa muda mwingine mtaani wanapitisha viatu sendo au nguo kali huna hela zitakupita tu
 
Back
Top Bottom