Kwamba watu wamestaarabika sana au kuna reason behind?Inategemeana na siku nipo vip lak elf 30 vichej juu maan huku unawez uktembea na milion umeshikilia usipat jam yoyot ya wahuni yan full aman ukipotez ukamjua nan ameiyokot unaipat fresh usipomjua ndo imekula kwako
Kama mzigo upo LknIpo gud, ila wahuni one day tutacheza nayo hiyo
Sijiamini kabisa nisipo tembea na pesa! Kwanza naweza nisitembee kabisaSafi
Kutembea na akiba ni muhimu
Simple Sana[emoji23][emoji23]
Ngoja niige style hii na mim
Kabisa mkuu[emoji23][emoji23]
Duh! Umetisha, sema unaweza kuta siku moja inakuwa msaada wako hiyo na kukuepusha na kuaibika
yeaa wamestarabika ni watu hawana wivu na na mtu hawan time na wew fanya yako,ukweli nimeon utofaut na maeneo mengneKwamba watu wamestaarabika sana au kuna reason behind?
Note 100 zinatosha kwenye walletbinafsi
Kila mwezi huingia ATM na kutoa 100k
Nikitoa naingia ndani Kwa teller ,naomba chenji bukubuku yote laki
Basi zinakuwa kwenye wallet mwezi mzima
emergence yangu hiyo
ndio mkuu jaribu mwezi huu utanikumbuka ,namwaka wa 6 ndo shughuli yangu hiyoNote 100 zinatosha kwenye wallet