Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
Marekani wakati inaiharibu Libya iliandaa Mchungaji ambaye alikuwa namtukana Obama na viongozi wa west kuonyesha kuwa wananchi wa nchi za West na Marekani hawaungi Mkono uharibu huo huko Libya.Huyu jamaa anapiga spana Balaa huko Instagram
Huyu jamaa huwa hakosei,Yote aliyoamza kusema tangu mwaka uanze yametokea
"Kama Octoba tutatiki basi hatutatiki kwa aneyetaka tiki"
Na alishatafutwa sana na wasiijulikana wakamkosa,anakwambia yeye anawafanyia msako wako rohoni kabla hawajamtafuta