Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kwa watu tuliosoma hesabu matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC ni ya kughushi au kwa lugha ingine yamedukuliwa.
Kama unafuatilia mara baada tu ya IEBC kuanza kutangaza matokeo ya awali Uhuru alikuwa na 63% (904,700) na Raila akawa na 34%(664,300) halafu ghafla namba zikabadilika kwenda kwenye 54% na 44% Tangia hapo hizo ASILIMIA ZIMEBAKIA CONSTANT HAZIBADILIKI!!Mpaka sasa kura ziko kwenye milioni 7 kwa Uhuru na mili0ni 5.6 kwa Raila lakini percentage wise ziko palepale zikibadiliki ni kwa pc 1 au 2!!!!!!!
Inaonekana Wadukuzi wa mtandao wa IEBC watakuwa wamepenyeza namba fulani ambayo inabadilisha matokeo automatic kadri matokeo yanavyoingia kwa Uhuru na Raila!!
Sasa yale mauaji ya mtaalamu wa mfumo wa Mawasiliano (IT) wa IEBC yamezaa matunda. Hili ni tatizo sana kwa nchi zetu za Kiafrika na itachukua karne na karne kuondokana na huu upuuzi. Pole sana Raila Omolo Oginga Odinga.Chaguzi Afrika ni shida na matatizo!!1!