Unabii umeanza kutimia kuhusu Uchaguzi kenya

Unabii umeanza kutimia kuhusu Uchaguzi kenya

Kwa watu tuliosoma hesabu matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC ni ya kughushi au kwa lugha ingine yamedukuliwa.
Kama unafuatilia mara baada tu ya IEBC kuanza kutangaza matokeo ya awali Uhuru alikuwa na 63% (904,700) na Raila akawa na 34%(664,300) halafu ghafla namba zikabadilika kwenda kwenye 54% na 44% Tangia hapo hizo ASILIMIA ZIMEBAKIA CONSTANT HAZIBADILIKI!!Mpaka sasa kura ziko kwenye milioni 7 kwa Uhuru na mili0ni 5.6 kwa Raila lakini percentage wise ziko palepale zikibadiliki ni kwa pc 1 au 2!!!!!!!
Inaonekana Wadukuzi wa mtandao wa IEBC watakuwa wamepenyeza namba fulani ambayo inabadilisha matokeo automatic kadri matokeo yanavyoingia kwa Uhuru na Raila!!

Sasa yale mauaji ya mtaalamu wa mfumo wa Mawasiliano (IT) wa IEBC yamezaa matunda. Hili ni tatizo sana kwa nchi zetu za Kiafrika na itachukua karne na karne kuondokana na huu upuuzi. Pole sana Raila Omolo Oginga Odinga.Chaguzi Afrika ni shida na matatizo!!1!
 
Dhana ya "demokrasia" kwa Africa ni ubatili mtupu, tuendelee kudanganywa kuwa kuna demokrasia ili walioshika kwenye mpini waendelee kula.
Ni vema Basi tukawa na mfumo huru wa kutokuwa na Serikali, tubaki kama tulivyo, bila huu Ujinga uitwao Serikali! Kila mtu awe ni Serikali kamili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna haja ya kutoa maana ya "demokrasia ya vyama vingi, "
Ila ninavyoona sio demokrasia ambayo ni lazima vyama vya upinzani vishinde pekee lakini pia vionekana vinashiriki katika huo mchakato wa kushindwa.
Eventually, free and fair elections are too abstract in these undeveloping countries.

Watoe hizo fomu kama wameshinda si wameshinda tu, wanaogopa nn!!!
 
Nadhani kuna haja ya kutoa maana ya "demokrasia ya vyama vingi, "
Ila ninavyoona sio demokrasia ambayo ni lazima vyama vya upinzani vishinde pekee lakini pia vionekana vinashiriki katika huo mchakato wa kushindwa.
Eventually, free and fair elections are too abstract in these undeveloping countries.
Tatizo hapa ni madaraka ya kulevya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom