Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi.

Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea na yatakayokuja kutokea hapo badae.

Huu unabii wa Moses Kulola alioutoa mwaka 1997 na sasa tunaona unatendeka ni jambo la kuziilisha ukuu wa MUNGU, na habari za kitabu kitakatifu cha biblia. Sikiliza alichokiongea mwaka 1997 ndani ya video hapo chini kisha unipe maoni yako.


View: https://youtu.be/HKaykt4ht4A?si=qOjdacPeQToS4SiM
Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi, Amina.
 
Hata mimi natabiri, marekani itapigana vita maana imeandikwa ndani ya biblia.
 
Hata mimi natabiri, marekani itapigana vita maana imeandikwa ndani ya biblia.
Elezea sasa juu ya utabiri tambitambi wako... Ukitizama video Moses Kulola alielezea kidogo, wewe nawe elezea ni itakuwaje kwa ufupi
 
Elezea kidogo mkuu.
 
amina mungu amrehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…