Unabii wa Polepole: Corona imekwisha na Chadema imesambaratika na kuishiwa pumzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sometimes zikikutoka.. Nut zikalegea unakuwa kama umerogwa...

Jr[emoji769]
 
Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee, kumbe ni kweli huwa unatumwa na Polepole kupost ‘unabii’ wake humu?!! Kwanini anakutumia, Bwashee? Kuna siku utalia bungeni na kusema umechoka kutumiwa vibaya?!!
 
Hahahaaaa....... Tunakumbushana tu bwashee!

Siasa ni sayansi.
 
Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
Corona imetokemezwa na nini Bwashee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
Scientific proof?
 
Atukuzwe Mungu Milele
 
Back
Top Bottom