Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,681
- 12,444
Kumbukeni kauli zenu zinaishi,zitawatokea puaniChadema inaondoka km corona

Mtaondoka nyie,chadema itabaki.Chadema inaondoka km corona
Haha hahah hahah hahahahahah hahaha Humphrey PolepoleSiasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
jaman haya sio yakuchekeaha wakuu hakuna alie salama😔Haha hahah hahah hahahahahah hahaha Humphrey Polepole
Ngoja huyo habithi impitie naeSiasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli aiseeeee !!!!Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Aje aseme sasa...si yuko kwenye vieitee ambazo hazina corona??Hayo nimaneno yamtu mwenye ukosefu wa akili timamu..
Tuendelee tu kuwacheka CHADEMA , wametuchelewesha sanajaman haya sio yakuchekeaha wakuu hakuna alie salama😔
Hahahaaaa.......!
Tunakumbushana tu bwashee maana yalitabiriwa haya!
😂😂😂Mkuu umemtisha mchizi, anaogopa kinoma huko alipoNikutajie anayefuata?
Ebu ondoa uabunuwasi wewe. Unaona Corona inavyofanya kazi yake.Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
And Chadema is coming back soonseems like corona is back.
Maneno yako yanaishi mkuuKumbukeni kauli zenu zinaishi,zitawatokea puani
umeona eehHii na kama movie kubwa la maadui linakufa mwishoniiii
😆😆😆😆Njaa itawauwa wavivu nyie fanyeni kazi. Mmeshajua kujipendekeza na unafiki ndyo njia mbadala wa kupata shavu serikalini. Akiondoka mtaolewa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app