Unabii wa Polepole: Corona imekwisha na Chadema imesambaratika na kuishiwa pumzi

Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
Haha hahah hahah hahahahahah hahaha Humphrey Polepole
 
Siasa ni sayansi.

Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.

Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.

Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
Ngoja huyo habithi impitie nae
 
Kweli aiseeeee !!!!
 
Ebu ondoa uabunuwasi wewe. Unaona Corona inavyofanya kazi yake.
 
Hii na kama movie kubwa la maadui linakufa mwishoniiii
 
Back
Top Bottom