johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sometimes zikikutoka.. Nut zikalegea unakuwa kama umerogwa...Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee, kumbe ni kweli huwa unatumwa na Polepole kupost ‘unabii’ wake humu?!! Kwanini anakutumia, Bwashee? Kuna siku utalia bungeni na kusema umechoka kutumiwa vibaya?!!Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Mpaka mkianza kugawana mbao ndio tunafanya sherehe.
Hahahaaaa.......!Sometimes zikikutoka.. Nut zikalegea unakuwa kama umerogwa...
Jr[emoji769]
Hahahaaaa....... Tunakumbushana tu bwashee!Bwashee, kumbe ni kweli huwa unatumwa na Polepole kupost ‘unabii’ wake humu?!! Kwanini anakutumia, Bwashee? Kuna siku utalia bungeni na kusema umechoka kutumiwa vibaya?!!
Corona imetokemezwa na nini Bwashee.Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Maombi na mitishamba.
Scientific proof?Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Msinge weweseka kihasi hicho.Chadema inaondoka km corona
Atukuzwe Mungu MileleSiasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana madhara.
Maendeleo hayana vyama!
Huku kawe ofisi zote zimefungwa na bendera zimeshushwa!Vipi huko kwenu chadema ishakufa..?