Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

Kwingine umetiririka vizuri, hapa #6 ndo umeboronga
 
Kwingine umetiririka vizuri, hapa #6 ndo umeboronga
Rudi kusoma namba 7, imeongezwa.

No 6, ni muhimu itimie sababu tunakoelekea, viongozi wetu wataruhusu uchafu na makufuru kuingia Patakatifu, nadhani umeshasikia mashoga wanatakiwa kubarikiwa na kufungishwa NDOA wakiwa mashoga hi yo hivyo.

Solution hapo ni kurudi katika msingi.
 
Mtafaruku umeanza mapema, mnyama anatoa makucha yake halisi.

Kimbieni mapema.

Amen
 
Mambo yanakaribia.

Tusubiri.
 
Nataka kujua hawa wa siku ya sa

Nataka kujua hawa wa siku ya saba au jumamosi kama ulivyosema wanamwamini Yesu?
 
Nataka kujua hawa wa siku ya sa



Nataka kujua hawa wa siku ya saba au jumamosi kama ulivyosema wanamwamini Yesu?
Wasabato Si wakristo,

Wakatoliki Si wakristo.

Waislame kadhalika.

Sisi kuwa ndani ya kikundi Cha wasabato, wakatoliki au waislamu hamna wakristo, HAPANA.


Ukristo ni Imani, ni kubatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho mtakatifu. Ni Kuzaliwa UPYA, ni kuishi maisha matakatifu.

Waliookoka wengi wamejikuta wakikusanyika siku kuu ya IBADA, Jumapili sababu ya mkumbo.

Bt kuanzia 2024 na kuendelea, watarudi kujikusanya tena kama ilivyokuwa awali Kanisa la kwanza.

Amen
 
Hilo la mwisho liko wazi kabisaaa😄😄
Yani kama hujaliona aisee pole

Nenda tafuta Movie ya Leave the world behind
Au Simpson series mpya.

Uzuri wa haya mambo hayataki ubishani sana wether u like or not they happen

Walitupa movies za Quit na Silent kumbe wanatutaharisha na Lockdown ya Covid19 and they did it again waaoooh😄
 
Sasa yajayo kuanzia 2024 na kuendelea ni hatari sana ikiwa hujaokoka.

USALAMA ni kuokoka na kurudi Kwa Yesu.

Janga la Manyara, la nyumba kusombwa ilhali Kanisa la tope likabaki,

Ikupe kujua wapi ulipo USALAMA.

Amen
 
Sijauliza wakristo. Wakristo maana yake ni wale wote wanaomwamini Yesu. Hivyo wamefanyika wake.
Nimeuliza wa siku ya saba wanamwaminu Yesu?
Tuanzie hapo,
Na je waliamini neno la Mungu?
(INJILI ya Yesu)
Toa na vifungu vya biblia vinavyoonyesha wa siku ya saba kuwa na Wakristo.
 
Mungu hana upendeleo, ni sisi tu tunatumia uzoefu kumuelewa jambo ambalo ni janga kubwa la Dunia yetu. Kama alizungumza na Farao ndotoni hatuoni ni wa pekee?..

Mimi siyo nabii wala sana uhusiano na masuala hayo ila kiroho Mungu hunionesha mengi sana juu ya maisha yangu binafsi, Taifa na Dunia.
 
Kuwa mtabiri au mwonaji mara nyingi huzingatia zaidi ya kuwa na uwezo wa kibinadamu wa kuelewa mambo kwa kina. Ili kufikia kiwango hicho, watu mara nyingi hujifunza kwa miaka mingi, wakifuata mafundisho ya kiroho, utambuzi, na uelewa wa hali ya juu wa mambo yanayoendelea.

Kuwa mtabiri au mwonaji kunaweza kuhusisha mafunzo ya kiroho, kama vile meditation, kutafakari, na kujenga ufahamu wa ndani ya nafsi yako. Pia, kuna tamaduni ambazo zinaamini mchango wa maarifa ya jadi na ufahamu wa vizazi vilivyopita kwa mtu anayetaka kuwa mtabiri.

Ni muhimu kutambua kuwa njia za kufikia hali ya kuwa mtabiri au mwonaji zinatofautiana sana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Kwa wengine, hii inaweza kuwa sehemu ya mafundisho ya kidini au kiroho, wakati kwa wengine inaweza kuwa ni njia ya kujifunza na kuboresha uelewa wa mambo kupitia mafunzo ya kujitegemea na uzoefu wa maisha.

Kujenga ufahamu wa kina na uhusiano wa kiroho na mazingira ni hatua muhimu katika safari ya kuelekea kuwa mtabiri au mwonaji.
 
Unabii haujadiliwi,

Tusubiri.
 
Unabii na utabiri ni vitu tofauti kabisa.
 
Ahsante Mungu Kwa siku ya Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…