Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

Nabii wa kwanza ni Aadam alayhi ssalaam
Nabii wa mwisho ni Nabii Muhammad S.A.W

Baada yake, hakuna nabii mwingine tena, full stop
Huyo.mohamed naye haeleweki mala aitwe mtume mohaned mara nabii mohamed shida tupu na mleya mada hivyo huku nabii kule mtume.vurugu tupu
 
Unabii , utume vyote vipo kwenye BIBLIA.

Mohamad ndiye fake, sababu analeta INJILI tofauti na iliyohubiriwa na mitume.
 
Wahuni na wajanja wachache walioamua kujiita manabii na mitume,
Sijui mnachukuliaje haya maneno ila hao watu anaeza asiwepo hata mmoja nchi hii
 
KANISA la kwanza walikuwepo mitume na manabii,

Na katika karama Tano, unabii umo, Unatakiwa kutofautisha manabii wa Kweli na wa uongo, Si kupinga manabii.

Ubarikiwe.
 
Sidhani kama utaweza kuniaminisha kuwa nchi hii kuna nabii wa kweli,labda nitajie mmoja
 
Manabii wako wengi ndugu,

Katika Kila Kanisa la waliookoka, lazima awepo Nabii asiyepungua mmoja.

Ikiwa unaabudu Mahali na hakuna karama ya unabii Kanisani, hama hapo mara Moja, maana zile karama Tano ni LAZIMA ziwepo Ili liitwe Kanisa.

Sasa unabii pia una levels zake.

UBARIKIWE.
 
Majanga ya kutengeneza mmeyaona nadhani, na Bado!!

Salama ni kuingia ndani ya safina 🙏
 
Back
Top Bottom